Mechi ya jana imetupa ujasiri wana Simba

Mechi ya jana imetupa ujasiri wana Simba

Nilishangaa sana baada ya kujua kumbe yanga wapo kwenye mashindano tofauti na simba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi kweli kweli na watu wanajitutumua kumlinganisha simba na yanga.

NB: sina ushabiki kwa timu yoyote nimeonyesha mshangao niliopata tu..
Ndo uone namna ambavyo tunapata tabu na hawa viumbe,, wana vichwa vitupu mno
 
Ndo uone namna ambavyo tunapata tabu na hawa viumbe,, wana vichwa vitupu mno
Kuna muda nilikua nahisi yanga wanaonewa labda simba ndio wana midomo sana kumbe mambo meupe kabisaaa
 
Mijitu mingine buana mmeambiwa kama tim yako haipo champion league nyamaza kaa mbali na huu uzi lkn nashangaa mijitu haiheshimu uzi wa mtu
 
Uongo dhambi huyu mwamba fundi, ona alivyo waning'iniza waarabu, goli la kiufundi mnoo level za Uefa champions league,, sio kama yule jamaa wa utopolo anayefunga magoli ya papatu papatu baada ya hapo ana tetemeka uwanja mzima mithili ya mtu mwenye degedege ..
FB_IMG_16803337481481982.jpg
 
Uongo dhambi huyu mwamba fundi, ona alivyo waning'iniza waarabu, goli la kiufundi mnoo level za Uefa champions league,, sio kama yule jamaa wa utopolo anayefunga magoli ya papatu papatu baada ya hapo ana tetemeka uwanja mzima mithili ya mtu mwenye degedege ..View attachment 2573359
Baada ya kufunga ukapata point ngapi? Magoli ya papatu papatu mpaka ubingwa
 
Hapa inazungumzwa Cafcl subiri uzi wa kombe la mbuzi uta comment
Kombe la mbuzi pia lilikushinda ilibidi uchome moto uwanja ukijua ushindi unapatikana kwa uchawi na ukabutuliwa vile vile sijui unakielewa unachokisema ama umepitiwa tu!
 
Uongo dhambi huyu mwamba fundi, ona alivyo waning'iniza waarabu, goli la kiufundi mnoo level za Uefa champions league,, sio kama yule jamaa wa utopolo anayefunga magoli ya papatu papatu baada ya hapo ana tetemeka uwanja mzima mithili ya mtu mwenye degedege ..View attachment 2573359
Jamaa ni natural born scoring machine. Ningependa apewe special trainer akeshe naye gym kumuongezea nguvu na speed. Hapo na Phiri arudishwe katika nafasi yake, aisee 🔥🔥🔥
 
Mashabiki wa Simba wana hulka kama za bondia Karim Mandonga. Hatabuwafunhe, bado watachonga tu na kujitutumua!

Eti wamepata ujasiri!! Ujasiri wa kufungwa nje ndani!! Mnashindwa kukifunza kwa kaka zenu Yanga! Wamepigwa ugenini, na wenyewe wamekuja kulipa kisasi nyumbani.
Mbna kwa Al hilal mlishindwaaaa???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnachekeshaa sanaaa.
 
Jamaa ni natural born scoring machine. Ningependa apewe special trainer akeshe naye gym kumuongezea nguvu na speed. Hapo na Phiri arudishwe katika nafasi yake, aisee [emoji91][emoji91][emoji91]
Umenena mkuu
 
Back
Top Bottom