Mechi ya kirafiki: Al Nassr 6-0 Inter Miami dakika ya 90 game on

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
48,055
Reaction score
116,512
Messi kaingia dakika ya 83 wakati Ronaldo yupo jukwaani akiikosa mechi kwasababu ya majeraha.

Je hii inathibitisha kauli ya Ronaldo aliyoitoa siku za hivi karibuni kuhusu ubora wa ligi yao?

Na wale waliokuwa wanasema Saudia kuna hela hakuna mpira nadhani leo tumepata majibu
 
Screenshot_20240201-230358.png
 
Messi kaingia dakika ya 83 wakati Ronaldo yupo jukwaani akiikosa mechi kwasababu ya majeraha.

Je hii inathibitisha kauli ya Ronaldo aliyoitoa siku za hivi karibuni kuhusu ubora wa ligi yao?

Na wale waliokuwa wanasema Saudia kuna hela hakuna mpira nadhani leo tumepata majibu
afu mwakani utasikia Messi anabeba Tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa FIFA na Ballon dor ju na kuna mbuzi inakaa chini inakwambia Messi ni greatest player of all time PSG kakimbia palimshinda na Marekani nako kwenye ligi ya mbuzi pamemshinda sjui this time atakimbila wapi
 
Ballon d'or ni tuzo za CCM wanapeana kindugu

Ile tuzo ya 2010 ndio iliyokuja kuthibitisha hivyo.
 
afu mwakani utasikia Messi anabeba Tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa FIFA na Ballon dor ju na kuna mbuzi inakaa chini inakwambia Messi ni greatest player of all time PSG kakimbia palimshinda na Marekani nako kwenye ligi ya mbuzi pamemshinda sjui this time atakimbila wapi
United ya Ferguson iliteswa sana na Messi, shida inaanzia hapo japo na mm ni shabiki wa Man u😂
 
afu mwakani utasikia Messi anabeba Tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa FIFA na Ballon dor ju na kuna mbuzi inakaa chini inakwambia Messi ni greatest player of all time PSG kakimbia palimshinda na Marekani nako kwenye ligi ya mbuzi pamemshinda sjui this time atakimbila wapi
Hujui mpira
 
Cry more
 
Back
Top Bottom