The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Usiochelewa neno akabiki halimaanishi literal mara zote hakabiki.Wew inaonesha uyo Messi umetazama mechi zake chache Sana unapenda kuskiliza stori za watu sana angekuaa hakabiki si angefunga ata Goli nane tu kwenye france leauge one kwenye msimu wake wa kwanza
Ila ni mchezaji hatari kwa asilimia kubwa na ana uwezo wa kfanya lolote kwa mda wowote unaelewa lakini?
Tuonyeshe kombe la dunia la ronaldo?