Mechi ya kirafiki: Al Nassr 6-0 Inter Miami dakika ya 90 game on

Mechi ya kirafiki: Al Nassr 6-0 Inter Miami dakika ya 90 game on

Hakiki vizuri chanzo chako hizo ni stats za mwaka jana mwishoni.

Mwaka huu wamepoteza mara mbili

Wamepoteza dhidi ya Dallas na Al Hilal ya Saudia

Hapo bila kuongeza na mechi ya leo

Na tangu Messi amefika hapo Inter Miami nadhani ni zaidi ya mechi 7 ambazo wamepoteza
Messi hata angeenda kucheza beach soccer watu wangemfuatilia. Get life people, leave that little man alone.
 
Sasa kama sheria hazitambui, hiyo sheria yako ya 00:00 huoni kuwa ni wishfully thinking?
sasa katika hoja kama hii eti ronaldo kashinda kila dakika, tutakuambia hivi hajamaliza vyote sababu hajawahi kuweka rekodi ya kushinda 00:00.
Ishu kubwa ni CONSISTENCY for the long run.
Na hilo messi amelithibitisha.
Hakuna mtu ambaye afahamu hilo.

Ronaldo anakuaminisha juhudi ni kitundu muhimu sana na mpira si kazi nyepesi.

ila LA PULGA ANAKUAMINISHA MPIRA NI KAZI RAHISI SANA KUANZIA MIONDOKO YAKE ANAVYOCHEZEA MPIRA ANAVYOKUNYASA KIJIJI ANAVYOSHOOT MPIRA UNAONA NI JAMBO JEPESI SANA.

unajua scars kuna mtu akicheza unaona kabisa kama kuna kitu cha ziada anacho tofauti na wenzake. Hata kama wote mtajituma vipi lakini always kuna radha anakuwa nazo mwingine hana
 
wew nimgumu kuelewa nimekwambia messi alishindwa kuisaidia PSG kushinda UEFA sjakwambia Messi hajawah kushinda UEFA
hakuna mtu perfect ndicho unachoshindwa kuelewa wewe.
Tunaposema Messi hakabiki ina maana kati ya mara 10 mara 9 atakuwa ni mtu hatari sana. Kwani ronaldo mechi zote alizocheza hajawahi kufungwa na yeye akiwemo ndani?
The key is CONSISTENCY tangu anaanza kujulikana. Messi always on the top na hayo makombe yote ameshachukua haijalishi alishindwa kuchukua akiwa na PSG but in the long run still anashinda na anayo.

Tuonyeshe kombe la dunia la ronaldo lipo wapi? Huwezi kuwa mchezaji bora wa dunia kama hauna kombe la dunia.
 
Back
Top Bottom