United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Best player of all time analiye failure kwenye ligi dhaifu Duniani MSL na France leauge oneHe's the best of all time, acha makasiriko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Best player of all time analiye failure kwenye ligi dhaifu Duniani MSL na France leauge oneHe's the best of all time, acha makasiriko
PointlessBest player of all time analiye failure kwenye ligi dhaifu Duniani MSL na France leauge one
sasa ulitaka afanye nini? Maana sasahv anacheza mpira kujifurahishaafu mwakani utasikia Messi anabeba Tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa FIFA na Ballon dor ju na kuna mbuzi inakaa chini inakwambia Messi ni greatest player of all time PSG kakimbia palimshinda na Marekani nako kwenye ligi ya mbuzi pamemshinda sjui this time atakimbila wapi
2021/22 france leauge one Messi alifunga goli sita kwenye mechi 26 Messi ni wakufunga Goli sita kwenye ligi ya ajabu kama ile kama sio failure ni Nini Msimu wa 2022/2023 alifunga Goli 16 Messi ni wakufunga Goli 16 kweny ligi mbovu kama sio failure Ni Kitu gani uje uko kwenye ligi yenu ya ovyo ndio aibu tupuPointless
anajifraisha au Ndio uwezo wake umefika mwisho kaondoka Ulaya pale bado ajavunja rekodi nyingi tu mojawapo ya kuwa mfungaji mwenye magoli mengi kwenye champions leauge Historysasa ulitaka afanye nini? Maana sasahv anacheza mpira kujifurahisha
Turudi kwako Messi hakuna kitu anachodaiwa kwenye mpira na hapo ndio ubora wake ulipo, kubali ronaldo bado san
Sio kwelisasa ulitaka afanye nini? Maana sasahv anacheza mpira kujifurahisha
Turudi kwako Messi hakuna kitu anachodaiwa kwenye mpira na hapo ndio ubora wake ulipo, kubali ronaldo bado san
Tuzo za CCM hizo, Messi ana kadi ya UVCCMMwamba huyu hapa
View attachment 2891252
🚮 🚮 🚮Best player of all time analiye failure kwenye ligi dhaifu Duniani MSL na France leauge one
Sasa CCM inahusianaje na tuzo za balon d'or? Unaongea ujinga sana wewe jamaaTuzo za CCM hizo, Messi ana kadi ya UVCCM
Messi ni mchezaji ambaye ulimwengu utatumia mda kumpata kama yeye.anajifraisha au Ndio uwezo wake umefika mwisho kaondoka Ulaya pale bado ajavunja rekodi nyingi tu mojawapo ya kuwa mfungaji mwenye magoli mengi kwenye champions leauge History
CCM nimeitumia kama metaphorical tu hapoSasa CCM inahusianaje na tuzo za balon d'or? Unaongea ujinga sana wewe jamaa
Hauna hoja yoyote bora ukae kimya tu kuficha ujinga wakoCCM nimeitumia kama metaphorical tu hapo
Kulingana na status yake jinsi inavyofanyika hapa kwetu.
Huku kwetu kwenye mambo ya serikali taaluma sio kipaumbele cha msingi uwe na kadi ya chama au connection ya mtu mkubwa serikalini.
The same kwa balón D'or
kwani nani alishawahi kufanya hivi?😂🤣Sio kweli
Messi bado hajavunja rekodi ya kufunga goli kwenye kila dakika ya mchezo.
Sio rahisi kusema kila kitu amefanya. At least kama utaamua kupuuza baadhi ya factors
Hawa jamaa tuzo akibeba Ronaldo wanasifia lakini akichukua Messi wanaiita ya mchongoHauna hoja yoyote bora ukae kimya tu kuficha ujinga wako
Huwa nawashangaa sanaHawa jamaa tuzo akibeba Ronaldo wanasifia lakini akichukua Messi wanaiita ya mchongo
Ronaldo si wakumfananisha na Messi hata kidogo,Hawa jamaa tuzo akibeba Ronaldo wanasifia lakini akichukua Messi wanaiita ya mchongo
Hakiki vizuri chanzo chako hizo ni stats za mwaka jana mwishoni.Messi ni mchezaji ambaye ulimwengu utatumia mda kumpata kama yeye.
Kabla ajaingia inter Miami mechi takwimu
layed: 30
Won: 10 (one via penalty shootout)
Drawn: 4
Lost: 16
Baada ya kujiunga na inter Miami
Played: 12
Won: 11 (three via penalty shootout)
Drawn: 1
Lost: 0
Kwani hiyo timu kaikuta ikiwa katika hali gani?
Halafu suala la PSG si kwamba mkataba uliisha? Messi anatamani Neymar achukue ballon D’or Leo kesho anacheza tu basi maana Hakuna anayemfikia kwa hizo Tuzo.
Ronaldo kombe la dunia lipo wapi?
Ubora gani huo anashindwa kutetea taifa lake ana tofauti na pacome