Mechi ya kirafiki: Al Nassr 6-0 Inter Miami dakika ya 90 game on

Mechi ya kirafiki: Al Nassr 6-0 Inter Miami dakika ya 90 game on

Hakiki vizuri chanzo chako hizo ni stats za mwaka jana mwishoni.

Mwaka huu wamepoteza mara mbili

Wamepoteza dhidi ya Dallas na Al Hilal ya Saudia

Hapo bila kuongeza na mechi ya leo
ni sahihi.
Katika hili huoni kwamba messi ni mchezaji mkubwa?
 
Na hapo Ronaldo na Mane hawakuwepo kabisa
 
Attachments

  • 38927267-E410-46DD-AEE1-285FC5490A69.jpeg
    38927267-E410-46DD-AEE1-285FC5490A69.jpeg
    37.8 KB · Views: 3
Simeone wa Atletico madrid alishawahi kusema njia pekee ya kumzuia Messi ni kuomba sababu ni mtu unique huwezi kumzuia🤣🤣🤣
 
Ronaldo

Kafunga dakika zote za mchezo kuanzia dakika ya 1-90
Mkuu katika hilo nitakuuliza hivi.

Ronaldo alishawahi kushinda sekunde ya 00 pale mpira unapoanza?
Hii mbona si ishu kabisa ya kuiongelea Ronaldo alishawahi kufunga sekunde ya kwanza mchezo ulipoanza?
 
Mkuu katika hilo nitakuuliza hivi.

Ronaldo alishawahi kushinda sekunde ya 00 pale mpira unapoanza?
Hii mbona si ishu kabisa ya kuiongelea Ronaldo alishawahi kufunga sekunde ya kwanza mchezo ulipoanza?
Unaelewa maana ya dakika kwenye mpira?

Mchezaji hata afunge goli kwenye sekunde ya pili lakini score board itasoma dakika ya 1
 
Obi mikel alisema hivi
“Wakati timu ikijiandaa kucheza na real madrid maelekezo ya kumkaba ronaldo alikuwa anapewa Ashley,Lakini tulipikuwa tunaenda kucheza na barcelona siku nzima timu nzima ilikuwa ina train namna ya kumzuia MESSI LA PULGA.

kumpata mchezaji kama Messi dunia itatumia muda mrefu sana
 
Unaelewa maana ya dakika kwenye mpira?

Mchezaji hata afunge goli kwenye sekunde ya pili lakini score board itasoma dakika ya 1
Mkuu dakika haiwezi kukamilika kabla ya sekude.
Ninaulkza hivi ronaldo alishawahi kushinda goli kabla ya dakika kufika au sekunde ya kwanza?
kwasababu kama unaangalia ubora kwa namna hiyo inabidi uangalie factor hizo pia.
 
Simeone wa Atletico madrid alishawahi kusema njia pekee ya kumzuia Messi ni kuomba sababu ni mtu unique huwezi kumzuia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mechi nyingi sana kazuiliwa labda kama wew ni mtu wakusikia kuliko kutazama mfano mdogo tu 2010 kwenye Nusu fainali ya UEFA na Inter milan na Barcelona pale San siro alitoka patupu na Camp nou alitoka patupu pia kwenye mechi ya 16 bora msimu 2022 PSG na Real madrid Messi alikosa penati pale France na kwenye Mechi ya Marudiano Bernabeu alitoka patupu msimu wa 2013/14 Altetico Madrid walitangaza Ubigwa mbele ya Messi wako pale Camp Nou na alitoka bila kufunga Goli.
 
Hayo ni maneno ya makocha si yangu mimi.
ronaldo hajawahi kukosa penati? Romaldo hajawahk poteza na yeye akiwa anacheza?
At the end tunataka kuona outcomes nani mi bora
 
Obi mikel alisema hivi
“Wakati timu ikijiandaa kucheza na real madrid maelekezo ya kumkaba ronaldo alikuwa anapewa Ashley,Lakini tulipikuwa tunaenda kucheza na barcelona siku nzima timu nzima ilikuwa ina train namna ya kumzuia MESSI LA PULGA.

kumpata mchezaji kama Messi dunia itatumia muda mrefu sana
Wew inaonesha uyo Messi umetazama mechi zake chache Sana unapenda kuskiliza stori za watu sana angekuaa hakabiki si angefunga ata Goli nane tu kwenye france leauge one kwenye msimu wake wa kwanza
 
Nioneshe score board iliyosoma sekunde badala ya dakika
Mimi nimeuliza hivi, kabla dakika haijakamilika huwa ipo sekunde,
Mpira ukianza huwa unaanza na namba zipi? Ili na mm nikuomyeshe ni vipi ronaldo hajavunja hizo rekodi
 
Hayo ni maneno ya makocha si yangu mimi.
ronaldo hajawahi kukosa penati? Romaldo hajawahk poteza na yeye akiwa anacheza?
At the end tunataka kuona outcomes nani mi bora
Ndio tumekupa mifano uache kuskiliza propaganda za watu na Hakuna sehemu tumekwambia Ronaldo hadhuiliki ayo Maneno yakusema Messi hadhuiliki umeyaleta wrw
 
Back
Top Bottom