The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
ni sahihi.Hakiki vizuri chanzo chako hizo ni stats za mwaka jana mwishoni.
Mwaka huu wamepoteza mara mbili
Wamepoteza dhidi ya Dallas na Al Hilal ya Saudia
Hapo bila kuongeza na mechi ya leo
Huwezi kujiita mchezaji bora wa dunia na huna kombe la dunia. Ronaldo ni pacome aliyochangamkaNumbers don't lie🤒
View attachment 2891255
Kombe la kila mechi penati za mchongoHuwezi kujiita mchezaji bora wa dunia na huna kombe la dunia. Ronaldo ni pacome aliyochangamka
Mkuu katika hilo nitakuuliza hivi.Ronaldo
Kafunga dakika zote za mchezo kuanzia dakika ya 1-90
Labda kama ile siku ulilala ulimwengu mzima tuliona kweupe, Jinsi Messi alivyokuwa akipambana na mbappeKombe la kila mechi penati za mchongo
Unaelewa maana ya dakika kwenye mpira?Mkuu katika hilo nitakuuliza hivi.
Ronaldo alishawahi kushinda sekunde ya 00 pale mpira unapoanza?
Hii mbona si ishu kabisa ya kuiongelea Ronaldo alishawahi kufunga sekunde ya kwanza mchezo ulipoanza?
Mkuu dakika haiwezi kukamilika kabla ya sekude.Unaelewa maana ya dakika kwenye mpira?
Mchezaji hata afunge goli kwenye sekunde ya pili lakini score board itasoma dakika ya 1
Nioneshe score board iliyosoma sekunde badala ya dakikaMkuu dakika haiwezi kukamilika kabla ya sekude.
Ninaulkza hivi ronaldo alishawahi kushinda goli kabla ya dakika kufika au sekunde ya kwanza?
kwasababu kama unaangalia ubora kwa namna hiyo inabidi uangalie factor hizo pia.
Mechi nyingi sana kazuiliwa labda kama wew ni mtu wakusikia kuliko kutazama mfano mdogo tu 2010 kwenye Nusu fainali ya UEFA na Inter milan na Barcelona pale San siro alitoka patupu na Camp nou alitoka patupu pia kwenye mechi ya 16 bora msimu 2022 PSG na Real madrid Messi alikosa penati pale France na kwenye Mechi ya Marudiano Bernabeu alitoka patupu msimu wa 2013/14 Altetico Madrid walitangaza Ubigwa mbele ya Messi wako pale Camp Nou na alitoka bila kufunga Goli.Simeone wa Atletico madrid alishawahi kusema njia pekee ya kumzuia Messi ni kuomba sababu ni mtu unique huwezi kumzuia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hayo ni maneno ya makocha si yangu mimi.Mechi nyingi sana kazuiliwa labda kama wew ni mtu wakusikia kuliko kutazama mfano mdogo tu 2010 kwenye Nusu fainali ya UEFA na Inter milan na Barcelona pale San siro alitoka patupu na Camp nou alitoka patupu pia kwenye mechi ya 16 bora msimu 2022 PSG na Real madrid Messi alikosa penati pale France na kwenye Mechi ya Marudiano Bernabeu alitoka patupu msimu wa 2013/14 Altetico Madrid walitangaza Ubigwa mbele ya Messi wako pale Camp Nou na alitoka bila kufunga Goli.
Wew inaonesha uyo Messi umetazama mechi zake chache Sana unapenda kuskiliza stori za watu sana angekuaa hakabiki si angefunga ata Goli nane tu kwenye france leauge one kwenye msimu wake wa kwanzaObi mikel alisema hivi
“Wakati timu ikijiandaa kucheza na real madrid maelekezo ya kumkaba ronaldo alikuwa anapewa Ashley,Lakini tulipikuwa tunaenda kucheza na barcelona siku nzima timu nzima ilikuwa ina train namna ya kumzuia MESSI LA PULGA.
kumpata mchezaji kama Messi dunia itatumia muda mrefu sana
Mimi nimeuliza hivi, kabla dakika haijakamilika huwa ipo sekunde,Nioneshe score board iliyosoma sekunde badala ya dakika
Ndio tumekupa mifano uache kuskiliza propaganda za watu na Hakuna sehemu tumekwambia Ronaldo hadhuiliki ayo Maneno yakusema Messi hadhuiliki umeyaleta wrwHayo ni maneno ya makocha si yangu mimi.
ronaldo hajawahi kukosa penati? Romaldo hajawahk poteza na yeye akiwa anacheza?
At the end tunataka kuona outcomes nani mi bora