beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,458
- 2,496
Messi hata angeenda kucheza beach soccer watu wangemfuatilia. Get life people, leave that little man alone.Hakiki vizuri chanzo chako hizo ni stats za mwaka jana mwishoni.
Mwaka huu wamepoteza mara mbili
Wamepoteza dhidi ya Dallas na Al Hilal ya Saudia
Hapo bila kuongeza na mechi ya leo
Na tangu Messi amefika hapo Inter Miami nadhani ni zaidi ya mechi 7 ambazo wamepoteza
sasa katika hoja kama hii eti ronaldo kashinda kila dakika, tutakuambia hivi hajamaliza vyote sababu hajawahi kuweka rekodi ya kushinda 00:00.Sasa kama sheria hazitambui, hiyo sheria yako ya 00:00 huoni kuwa ni wishfully thinking?
hakuna mtu perfect ndicho unachoshindwa kuelewa wewe.wew nimgumu kuelewa nimekwambia messi alishindwa kuisaidia PSG kushinda UEFA sjakwambia Messi hajawah kushinda UEFA