Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa Al Hilal Vs Simba Sc

Wepesi tu hawa..wangekutana na Simba full music asingetoka mtu hapa
 
Mzungu Dejan Simba sio mahali pa mazoezi...
Sasa ata mcost Zoran......
Mbona hakuna fighting spirit....Nani aamshe ARI ktk kikosi cha simba
 
Haya na Enonga kapigwa tobo, kwahiyo mtaitana kujadili au mtapotezea kwasababu aliyempiga gobo hachezei Yanga?
Mi naona ni upuuzi tuu sasa kwani wachezaji wanaimba wimbo wa Taifa wako attention useme mpira usipite ktkt ya miguu?.si wanacheza sasa how come iwe ishu mi naona wanaodiscus hayo mambo ni low IQ.
 
Kwa nini Okwa asiwe first eleven...
 
Dakika 90'zimekamilika zimeongezwa 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…