Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa Al Hilal Vs Simba Sc

We jamaa ni Mbugila, uwanja wenyewe uwezo wake hauzidi watu 40,000 afu uje hapa na huo upumbavu??. Uwanja haufiki watu 40k na bado uko nusu unawezaje kuja hapa na vouzy lako unapost as if unajua capacity ya uwanja??
We jamaa kumbe ni kilaza.
Sio fact

Nigeria walijaa kuliko idadi halisi ya uwanja wao
 
Sijui wanafurahishwa na uchizi wake au ndio wanapotezea kwasababu wanaona mechi haina umuhimu?

Hata sielewi kwakweli
Simba Day alifanya hivyo wakanyamaza siku ya ngao ya jamii karudia mchezo wake na Bado haachi
 
We jamaa ni Mbugila, uwanja wenyewe uwezo wake hauzidi watu 40,000 afu uje hapa na huo upumbavu??. Uwanja haufiki watu 40k na bado uko nusu unawezaje kuja hapa na vouzy lako unapost as if unajua capacity ya uwanja??
We jamaa kumbe ni kilaza.
Hilo jamaa hua ni Zuzu
 
niko naona hapa marudio
simba wanafanya makosa yale yale kama jana

wakizubaa watapigwa tena goli 1
 
hii inaitwa kujipa moyo

ukweli huna timu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…