Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa Al Hilal Vs Simba Sc

Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa Al Hilal Vs Simba Sc

Screenshot_20220901-024211_Chrome.jpg
 
We jamaa ni Mbugila, uwanja wenyewe uwezo wake hauzidi watu 40,000 afu uje hapa na huo upumbavu??. Uwanja haufiki watu 40k na bado uko nusu unawezaje kuja hapa na vouzy lako unapost as if unajua capacity ya uwanja??
We jamaa kumbe ni kilaza.
Sio fact

Nigeria walijaa kuliko idadi halisi ya uwanja wao
 
We jamaa ni Mbugila, uwanja wenyewe uwezo wake hauzidi watu 40,000 afu uje hapa na huo upumbavu??. Uwanja haufiki watu 40k na bado uko nusu unawezaje kuja hapa na vouzy lako unapost as if unajua capacity ya uwanja??
We jamaa kumbe ni kilaza.
Hilo jamaa hua ni Zuzu
 
niko naona hapa marudio
simba wanafanya makosa yale yale kama jana

wakizubaa watapigwa tena goli 1
 
Mechi ni ya kirafiki, al hilal wameichukulia kama fainali ya CL, wamesahau kuwa wanacheza football badala yake wanacheza "ndondiball"

Wachezaji wetu walipoligundua hilo wakaamua kufanya mazoezi ndani ya mechi na kilichotokea al hilal wakajua wametuweza

Ukitaka kulijua hilo, lifikirie kwa makini sana tukio la chama kumpa mpira mchezaji wa al hilal ili apige freekick ya simba, hapo utajua simba waliswitch mind na kuigeuza mechi kuwa mazoezi
hii inaitwa kujipa moyo

ukweli huna timu
 
Back
Top Bottom