Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa Al Hilal Vs Simba Sc

Dejan kafichika
 
Dakika ya 41 mambo bado ni bila bila
 
Okrah naye kapiga shuti limeenda juu
 
36

Al hilal wanafanya mashambulizi mawili, moja lilishindikana baada ya kushindwa kumalizia mpira wa mwisho na lingine ni shuti liliookolewa na kipa
Mbona leo inatisha
 
44

Pasi ilikuwa ndefu ilikuwa ngumu kwa Dejan kufaidika na mpira ule
 
Dakika 2 zimeongezwa kuelekea mapumziko
 
Wakubwa hii match ni kubwa, yaan uwanja uko full house!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…