Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa Al Hilal Vs Simba Sc

Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa Al Hilal Vs Simba Sc

Dakika ya 41 mambo bado ni bila bila
 
Okrah naye kapiga shuti limeenda juu
 
36

Al hilal wanafanya mashambulizi mawili, moja lilishindikana baada ya kushindwa kumalizia mpira wa mwisho na lingine ni shuti liliookolewa na kipa
Mbona leo inatisha
 
44

Pasi ilikuwa ndefu ilikuwa ngumu kwa Dejan kufaidika na mpira ule
 
Back
Top Bottom