Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa Al Hilal Vs Simba Sc

Nafikiri sub ya dejan kumuweka phiri itakuwa nzuri zaidi, namuona dejan kwenye game hajachangamka kama phiri.

Tamaa yangu ilikuwa kuwaona chama, okrah na okwa pamoja jamaa wanavitu nafikiri kutafuta magoli ndo kilichobaki.
#Nguvumoja
For real
 
Mpira umeanza kwa kasi huku Simba ikifanya blocking mpira ambao ulikuwa unaenda kuleta madhara katika eneo lao
 
47'
Okrah anapiga cross ambayo inaenda nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…