Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa Al Hilal Vs Simba Sc

Zimebaki sekundw 20 na mpira umesimama kwa muda kutokana na mchezaji wa Al hilal kuanguka
 
Yani hpo kocha wa Yanga yupo full time ameangalia miguu ya wachezaji wa Al hilal ajue wanakimbiaje hahahaah
Al hilal sio wazuri wakutisha, huyu ukimpigia hesabu za sare away na kipigo home inawezekana kabisa

Sema tatizo lipo kwa ndugu zetu hawana upaja wa kuhimili mapambano ya kimataifa na ndio maana inakuwa ngumu kuwabashiria ushindi
 
Al hilal sio wazuri wakutisha, huyu ukimpigia hesabu xa sare away na kipigo home inawezekana kabisa

Sema tatizo lipo kwa nfugu zetu hawana upaja wa kuhimili mapambano ya kimataifa na ndio maana inakuwa ngumu kuwabashiria ushindi
Wanaringa wana bendi ya kutumbuiza yenye wakongo wa kutosha
 
Al hilal sio wazuri wakutisha, huyu ukimpigia hesabu xa sare away na kipigo home inawezekana kabisa

Sema tatizo lipo kwa nfugu zetu hawana upaja wa kuhimili mapambano ya kimataifa na ndio maana inakuwa ngumu kuwabashiria ushindi
True. Lakini pia ni kweli kapombe na zimbwe wamekwepo muda mrefu sana kikosini, ila hawa wa leo bado sana kuwa mbadala wa hizo mbavu mbili za timu.
 
Ndo maana ya kikosi kipana lazima wote wafanyiwe majaribio
 
Hawa tungekuwa full mkoko wasingetoka. Uto wajiandae kupelekewa moto. Labda wakacheze ndombolo na wakongo wao
 
Hongera wachezaji..huu ndio uungwana..huwezi kukaribishwa kwa rafiki yako halafu pamoja na ukarimu wote aliokufanyia halafu umfunge.
 
True. Lakini pia ni kweli kapombe na zimbwe wamekwepo muda mrefu sana kikosini, ila hawa wa leo bado sana kuwa mbadala wa hizo mbavu mbili za timu.
Plus na uzembe wa baadhi ya wachezaji wa Simba umetusababishia kupata matokeo haya

Huu uzembe ulianzia kwenye mechi ya juzi, na kama ukiendelea basi kuna siku tutakuja kupoteza mechi kwenye game muhimu
 
Hawa tungekuwa full mkoko wasingetoka. Uto wajiandae kupelekewa moto. Labda wakacheze ndombolo na wakongo wao
Wapunguze masihara, wanacheza show game sana hawaoneshi njaa ya magoli

So far nimeona Al hilal inafungika hata kwao endapo Simba atajidhatiti na kujitoa vilivyo
 
Hongera wachezaji..huu ndio uungwana..huwezi kukaribishwa kwa rafiki yako halafu pamoja na ukarimu wote aliokufanyia halafu umfunge.
Kweli isingeleta picha nzuri tena ukizingatia wao ndio wametualika kwenye shuguli yao
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Hongera wachezaji..huu ndio uungwana..huwezi kukaribishwa kwa rafiki yako halafu pamoja na ukarimu wote aliokufanyia halafu umfunge.
4 shuaaaa.

Yu neiled iti.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom