Mechi ya kirafiki | Yanga 1 - 1 Somalia

Habari,

Young Africans wana mechi ya hisani na timu ya taifa ya Somalia saa moja kamili usiku katika Kiwanja cha Azam Complex.

Lengo la mchezo huu wa kirafiki ni kuchangia fedha kwa ajili ya kusaidia Taasisi ya Ali Kimara (Ali Kimara Rare Disease Foundation).

 
Nawaona sana insta, wakigawa pipi kwa yatima na kuwapiga sana picha
 
Ahaaa wameona nawao wacheze mechi ya kimataifa.

Ok hongereni watani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…