Mechi ya kirafiki | Yanga 1 - 1 Somalia

Mechi ya kirafiki | Yanga 1 - 1 Somalia

Performance ya Mayele imeua confidence ya Makambo kwa kiasi fulani.

Makambo Inabidi Apambane Kweli Kweli Kuleta Ushindani
 
Kina mchezaji wa somalia anaitwa abdi, anapiga ascaping ya kuchanga, sijui alimuona wapi sakho huyu
 
Dakika ya 17 zacharia anaitanguliza somalia kwa bao moja hapa
 
Aliyetoa wazo la kuanza na mchango kabla ya mechi aliona mbali
 
Kunjua moyo huo uone kipaji cha kijana wa Kitanzania
Awapi namuona yuko simple sana, yanga naye muona yuko serious ni saido

Kwa hii mechi naye muona mkari zaidi ni huyu abdi wa somalia, hata goli lililofungwa kasababisha yeye, kawa ni mchezaji mwenye hatari na kufika golini kwenye lango la yanga mara kwa mara
 
Back
Top Bottom