Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Young Africans 1 - 1 Somalia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema wanacheza soft sanaHawa wasomali wachezaji watano tu ndo wanacheza somalia. Wengine wote wametoka Europe, USA, Canada
.
Wamezaliwa huko ingawa wanacheza madaraja ya chini
.
Kuanzia daraja la pili, La tatu
.
Sio wabovu kiivyo hao yaani Full confidence
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wanajiandaa na game na eswatini [emoji1235] tar 23 mwezi huu wa 3Sema wanacheza soft sana
Eh bana hii nikuwa siijuiHao wanajiandaa na game na eswatini [emoji1235] tar 23 mwezi huu wa 3
.
Inafanyika hapo hapo bongo uwanja wa Azam
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ile Sakho alipiga chenga Captain wa Dodoma jiji mpaka akakaa chini[emoji23]Mashabiki wa Yanga bana
Yani vichenga kidogo wanashangilia, sasa wachezaji wao wangekuwa wanaupiga kama ule wa simba si wangekauka makoo kwa kushangilia
Au ile ya chama alivyo wakata mabeki na kuwapa mseleleko, can you imagine yanga wangeshangilia namna gani?
We jamaa unakera zaidi ya Gentamycine[emoji1787]Dakika 12 ya mchezo mpira bado umepoa sijajua kwasababu zote ni timu za mchangani au namna gani
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]Sio kukaa chini tu, naskia waliokuwa karibu walimskia mchizi akisonya
Chanel gani wanaonyesha?Kipindi cha pili kimeanza
Ni zamu ya yanga kuchezewa nusu uwanja