Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Yanga mwenzangu umeongea kama kilaza. Ushidi dk za lala salama?.kwani team inatakiwa kisheria ishinde dk zipi ndo tujue ni nzuri? Team nzuri inashinda bado sekunde tano mpira kuisha.Shirikisho Hapo Hapo Utaenda Kushuhudia Namna Mnavyotapatapa. Point 1 Ile Tazama Mchezo Ulivyokuwa Wazi Kwa Wenyeji Kushinda Ni Utulivu Ulikosekana Na Morocco Namna Ulivyopoteza.
Hata Ushindi Wa Hapa Benjamin Namna Ulivyosuasua Hadi DK Za Lala Salama
Unataka Kusema Bado Hujaona Simba SC Anavyosusua?.
Mi nadhani kuna kipindi tuzungumzie mpira kama watu wanaoufahamu mpira. Siyo kishabiki tu.