Mechi ya kirafiki | Yanga 1 - 1 Somalia

Mechi ya kirafiki | Yanga 1 - 1 Somalia

Ndo shida ya kuwa na nguo moja

Unakuwa kauka nikuvae...!
Mkuu Mwisho Wa Msimu Tunaongeza Chuma Kingine Straika Makini Zaidi Ili Kuongeza Ushindani Na Mayele.

Na Hadi Sasa Kwa Kuwa Asimilia Nyingi Zipo Upande Wetu Kuchukua Ubingwa 21/22 Unafahamu Vyema Kabisa Timu/Yeyote Dunia Ikichukua Ubingwa Msimu Unaofuata Huwa Kuna Asimilia Kubwa Sana Ya Kuchukua Tena.

Hiyo Unajua Sababu Ni Nini?

Sababu Kubwa Kama Timu Hahitouza/Kutoa Wachezaji Wengi Basi Itaongeza Nguvu Sehemu Ambazo Zinahitaji Maboresho.

Mfano Mzuri Young Africans Tuki-maintain Hii Consistency Hadi Mwisho Wa Msimu Mambo Machache Yatafanyiwa Kazi Kama Kuongeza Kiungo Wa Kati Kuongeza Ushindani Kwa Aucho.

Straika Pia Kuongeza Ushindani Kwa Mayele Pia Tusisahau Age Za Wachezaji Pia Zitaangaliwa Maana Back To Back Si Ya Mchezo Kama Una Wachezaji Wazee Pia Na Wasiojitoi.


Pia Tutazame Upande Wa Pili Kwa Timu Ambayo Itakosa Ubingwa Hapa Sana Sana Nyie (Simba SC) Maana Asilimia Ni Nyingi Ya Kukosa Ubingwa 21/22 Hadi Sasa Kama Msimamo Ulivyo.

Kukosa Huko Ubingwa Kutawasababisha Mvunje Pamoja Na Kuachana Na Wachezaji Wengi Sana Kwa Kigezo Cha Kusema Wamecheza Chini Ya Kiwango Na Sababu Mtakuja Nazo Nyingi Umri/Nationality Pia.

Na Kuvunja Huko Kikosi Na Kukipata Kingine Si Jambo La Muda Mfupi Na Ndicho Nakiona Kinaenda Kuwatokea Wana-msimbazi Misimu Michache Ijayo.

NB: Timu Ikikosa Ubingwa Watu Pamoja Na Mashabiki Huwa Desperate Sana Usipopata Watendaji Na Scout Waliokomaa Basi Ni Wazi Kabisa Mihemko Itakuchua Nafasi Na Hilo Ndio Young Africans Tulipitia Ndani Ya Miaka Minne.
 
Katika hili kundi bado yanga anapewa nafasi kubwa ya kupita

Mechi ya marudiano Yanga atakuwa ugenini, kule lazima ahakikishe anapata ushindi
 
Back
Top Bottom