Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Simuamini yule, kumbuka alishawahi kutaifisha magari ya watu
Kila jambo na wakati wake.Kuna mechi ya hisani iliyowahi kuchezwa kwa ajili yake?
Kunjua moyo huo uone kipaji cha kijana wa Kitanzaniakijijini akifanya shughuli za kilimo
Ndo shida ya kuwa na nguo mojaPerformance ya Mayele imeua confidence ya Makambo kwa kiasi fulani.
Makambo Inabidi Apambane Kweli Kweli Kuleta Ushindani
Awapi namuona yuko simple sana, yanga naye muona yuko serious ni saidoKunjua moyo huo uone kipaji cha kijana wa Kitanzania