Mechi ya kirafiki | Yanga 1 - 1 Somalia

Simba kuvunja kikosi sidhani kama sababu itakuwa ni ubingwa wa ligi kuu

Simba inatazamia zaidi kwenye mashindano makubwa kama club bingwa huko

Huku hata tukikosa kombe mara 5 ila club bingwa tukapata mara moja, hii ni historia ambayo haijawahi kutokea na itachukua centuries kuja kuvunjwa

Sasa itakuwa ni upimbi kama focus ya simba imejidhatiti kwenye ligi kuu ambapo hata ukichukua mara 5 haitakuwa kitu cha ajabu

Muhimu hapa ni simba kufanya usajili mkubwa wenye ushindani wakimataifa hapo ndio tutakuwa tumeweza
 
Leo tulikuwa tunapasha.
Week sio nyingi tutawafumua jamaa wa vunjabei
 
Mnasemaga mnafanya usajili mkubwa mwisho wa siku mnatuletea akina Chikwende na Serunkuma.
 
This time hatowapachika kimoja cha mkwezi
Yaani atawashindilia tu alaksusu ikasome.
Tena round hii mbona ndio mmepoa kabisa

Msimu uliopita ilikuwa kila muda tunawaskia "subiri tarehe 11 mayele atawakomesha"

Haya tarehe 11 ikafika, huyo mayele alifanya nini au hakucheza?

Na saizi bado mnarudia makosa yale yale, ngoja tukate ngebe
 
Utafikaje Kimataifa Kama Ndani Hutofanya Vyema Kupata Nafasi Hizo.

Kumbuka Kipindi Mnatolewa Na Wamakonde Msimu Ule Wa Kina Konde Boy.

Pamoja Na Kutolewa Kwenye Mashindano Hatua Za Mwanzo Kabisa Hakuna Mabadiliko Makubwa Yaliyofanyika Sababu Ndani Pia Mliendelea Kufanya Vizuri.

Na Msimu Uliofata Baada Ya Kuongeza Wachezaji Na Wengi Tayari Mlikuwa Mmsewasajili Hakukuwa Na Ulazima/Chachu/Mhaho Wa Kuvunja Kikosi Maana Performance Ilikuwa Inaonekana Hata Kwenye Mechi Za Mchangani.


Sasa Leo Ubingwa Wa Ndani Mmekosa Pia Kimataifa Hali Unaiona, Safari Yenu Kimataifa Ni Kama Gari La Mkaa Trip Mmoja Tu Trip Inayofata Garage Ndio Simba SC Anachopitia Sasa Ni Sinusoidal Wave Ikiamka Leo Imeshinda Kesho Imepoteza Bila Kujali Mchezo Muhimu Au Laah.


Kama Ndani Performance Itakuwa Mbovu Hakuna Uwezekano Wa Nje Ukafanya Vizuri.
 
Ubovu wa simba hauwezi kugunduliwa na timu iliyokuwa mbovu zaidi

Hayo maneno ilipaswa wawe wanasema al ahly au mamelody sio watu kama yanga

Simba inavyocheza ligi kuu ni tofauti na inavyo cheza kimataifa, ombea dua mbaya itolewe halafu utaona akiwa ligi kuu atakuwa anacheza performance gani
 
Shirikisho Hapo Hapo Utaenda Kushuhudia Namna Mnavyotapatapa. Point 1 Ile Tazama Mchezo Ulivyokuwa Wazi Kwa Wenyeji Kushinda Ni Utulivu Ulikosekana Na Morocco Namna Ulivyopoteza.

Hata Ushindi Wa Hapa Benjamin Namna Ulivyosuasua Hadi DK Za Lala Salama


Unataka Kusema Bado Hujaona Simba SC Anavyosusua?.
 
Misukosuko ndio mwendo wa ngalawa

Ngoja leo tumpige berkane kichapo cha fumanizi mpaka wapokezi wao wapoteane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…