Mechi ya kirafiki | Yanga 1 - 1 Somalia

Yanga mwenzangu umeongea kama kilaza. Ushidi dk za lala salama?.kwani team inatakiwa kisheria ishinde dk zipi ndo tujue ni nzuri? Team nzuri inashinda bado sekunde tano mpira kuisha.

Mi nadhani kuna kipindi tuzungumzie mpira kama watu wanaoufahamu mpira. Siyo kishabiki tu.
 
Hawa wanapigika vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…