Kama muhispania mwenzake ni Madrid ,Vilareal asahau kombeKuna uwezekano mkubwa fainali ikawa ya liverpool na city 70%(hapa naipa game 50% fifte, naiona liverpool vizuri ila guardiola si mwepesi kumpiga kama ngoma), Liverpool na real Madrid 25%(Liverpool to win is 80%) Villarreal na timu yoyote naipa 5% sababu mpira una mambo ya ajabu ila kwa asilimia 95 naamini Villarreal hafiki fainali akifika basi kulikosa kombe ni kwa 98%. Labda akutane na muhispania mwenzie ndio atafurukuta akikutana na man city itakiwa moja kati ya mechi mbovu kutizama.
Nao ni ngumu mnooo kufika fainali.Kama muhispania mwenzake ni Madrid ,Vilareal asahau kombe
Kuna uwezekano mkubwa fainali ikawa ya liverpool na city 70%(hapa naipa game 50% fifte, naiona liverpool vizuri ila guardiola si mwepesi kumpiga kama ngoma), Liverpool na real Madrid 25%(Liverpool to win is 80%) Villarreal na timu yoyote naipa 5% sababu mpira una mambo ya ajabu ila kwa asilimia 95 naamini Villarreal hafiki fainali akifika basi kulikosa kombe ni kwa 98%. Labda akutane na muhispania mwenzie ndio atafurukuta akikutana na man city itakiwa moja kati ya mechi mbovu kutizama.
Tuache muda uzungumze, utaona jambo mzee.Tusiwachukulie poa V.real kamanda,
Nani anatubeba babu hatubebwi Ni vijana wenye misuli yao ndio wanafanaya Mambo Happ anfieldKila laheri city
My prediction
City and Villa real, final
................OR...................
Madrid and Villa real, final
Liverkuku out, labda waendelee kubebwa kama kawaida yao
City jama huyu gadiola Ana gundu awez beba kombe Hilo la uefa kwa sasa andelee kuioneaa ligi kuu to had arudi baca alikolibebaPep guardiola ni kocha mwenye mbinu na falsafa nzuri ya mvuto ,ila mbinu ikifeli wachezaji hupaniki ,bado anaweza kushinda
Faunali ikiwa Mancity na Liver itakuwa na mvuto wa aina yake. Huku ligi huku Uefa. Ila naiombea sana city ichukue UEFA.Kuna uwezekano mkubwa fainali ikawa ya liverpool na city 70%(hapa naipa game 50% fifte, naiona liverpool vizuri ila guardiola si mwepesi kumpiga kama ngoma), Liverpool na real Madrid 25%(Liverpool to win is 80%) Villarreal na timu yoyote naipa 5% sababu mpira una mambo ya ajabu ila kwa asilimia 95 naamini Villarreal hafiki fainali akifika basi kulikosa kombe ni kwa 98%. Labda akutane na muhispania mwenzie ndio atafurukuta akikutana na man city itakiwa moja kati ya mechi mbovu kutizama.
Liverpool Liverpool LiverpoolKila laheri city
My prediction
City and Villa real, final
................OR...................
Madrid and Villa real, final
Liverkuku out, labda waendelee kubebwa kama kawaida yao