Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Tuko pamoja kaka [emoji1666] na leo ndiyo vile tena Kasimiro out daaah....[emoji849]Real Madrid akifichwa tu benzema shughuli imeisha,madrid kwenye fainali ni 0.000%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko pamoja kaka [emoji1666] na leo ndiyo vile tena Kasimiro out daaah....[emoji849]Real Madrid akifichwa tu benzema shughuli imeisha,madrid kwenye fainali ni 0.000%
Tena ni mbovu kupita maelezo.Sio kwa Madrid hii mbovu.
Timu aliyoifunga hadi kufika nusu fainali (Chelsea FC) ilikuwa nzuri kiasi gani msimu huu [emoji848]But ipo semi final, ubovu gani unaousema?
Hater..!Kila laheri city
My prediction
City and Villa real, final
................OR...................
Madrid and Villa real, final
Liverkuku out, labda waendelee kubebwa kama kawaida yao
naombeni link
Imekuwaje Tena🤣🤣🤣Apa madrid analoa gori 5-0 leo
Lakini mjue Madrid ni mke wa city huwa hachomoi kuliwa ndogoNi kweli mkuu hii timu ikishaingia semi final inakua ngumu kuizuia
Tell herSio kwa Madrid hii mbovu.
Hatuna Walker na canceloTuko pamoja kaka [emoji1666] na leo ndiyo vile tena Kasimiro out daaah....[emoji849]
2-1,favour Man cityNgapi huko?
Liverpool bingwaKila laheri city
My prediction
City and Villa real, final
................OR...................
Madrid and Villa real, final
Liverkuku out, labda waendelee kubebwa kama kawaida yao