MECHI ya kufa mtu MANCHESTER CITY vs REAL MADRID nani anaenda fainali

MECHI ya kufa mtu MANCHESTER CITY vs REAL MADRID nani anaenda fainali

Mpaka hapa karata naitupa kwa Madrid, gape la goli moja sio kitu kabisa.
 
Mpaka hapa karata naitupa kwa Madrid, gape la goli moja sio kitu kabisa.
Unawajua City vizuri mkuu?
City hawana na uwanja wa ugenini, wao popote wanakutawala na kukufunga.
Japo ninaamini mechi ya pili itaisha kwa sare maana City anajihami sana akiwa ugenini.
 
Back
Top Bottom