Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Game tamu sana hili lilistahili kuwa final
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna tabu kaka, tuombe uzima.EPL ni ya Man City kwa mtizamo wangu, tuombe uzima kwa Mungu
Sikatai ila safari yao imefika kikomo, ajax alifanya suprise akakwama kizeembe kwa TottenhamVilla real mpaka sasa ndio timu pekee inayotoa Surprise kwa wapenzi wa kandanda duniani
Surprise ya kwanza kafanyiwa Atalanta wakiwa kwao Italy
Ya pili kafanyiwa Juventus wakiwa nao kwao Italy
Ya tatu kafanyiwa Bayern Munich
Sio timu ya kutabirika hao
Labda hiyo hesgoal.comLink ya mpira pleese
Game ya fainali ilikua ya Chelsea,Game tamu sana hili lilistahili kuwa final
Madrid mzoefu wa mashindano were[emoji4]Lakini mjue Madrid ni mke wa city huwa hachomoi kuliwa ndogo
Vin na benzema wameachana loose Sana leo[emoji4]50/50 hii game.
Natabiri vin kuwaletea shida kubwa sana city. Huyu stone atapata tabu sana. Mark my word
Keshawakojolea kimoja ukoTuko pamoja kaka [emoji1666] na leo ndiyo vile tena Kasimiro out daaah....[emoji849]
Link ya mpira pleese
Mkuu unafuatilia city na Madrid. Bonge la gemu tani Vilnius junior baada ya kufunga hii femu haitabiriki. It's a nail biting matchWakiingia liverpool na city ngoma nzito, mapenzi yangu yapo kwa Liverpool achukue lakini namjua vizuri pep hawezi kukubali kupigwa tena, na nina wasiwasi hiyo fainali itafika kipindi ambacho liverpool anachukua epl kazi itakuwepo.
Yani huyu vinisius Jr kafanya gemu isitabirike. Tuendelee mkuu. Ila naona Madrid watafunga nne leo iwe 4-2