MECHI ya kufa mtu MANCHESTER CITY vs REAL MADRID nani anaenda fainali

MECHI ya kufa mtu MANCHESTER CITY vs REAL MADRID nani anaenda fainali

Villa real mpaka sasa ndio timu pekee inayotoa Surprise kwa wapenzi wa kandanda duniani
Surprise ya kwanza kafanyiwa Atalanta wakiwa kwao Italy
Ya pili kafanyiwa Juventus wakiwa nao kwao Italy
Ya tatu kafanyiwa Bayern Munich

Sio timu ya kutabirika hao
Sikatai ila safari yao imefika kikomo, ajax alifanya suprise akakwama kizeembe kwa Tottenham
 
Bila upuuzi wa Mahrez, City angekua mbele kwa bao 3.
Nawaza jinsi gani atakavyosemwa na babu kipara huko chumbani maana hajawahi kukasirika namna ile.
 
Madrid akifika hatua hizi kumtoa Ni KAZI ngumu Sana,
Afu kumbukeni Madrid Ni mzur Sana ugenini kuliko kwake
 
Wakiingia liverpool na city ngoma nzito, mapenzi yangu yapo kwa Liverpool achukue lakini namjua vizuri pep hawezi kukubali kupigwa tena, na nina wasiwasi hiyo fainali itafika kipindi ambacho liverpool anachukua epl kazi itakuwepo.
Mkuu unafuatilia city na Madrid. Bonge la gemu tani Vilnius junior baada ya kufunga hii femu haitabiriki. It's a nail biting match
 
Back
Top Bottom