MECHI ya kufa mtu MANCHESTER CITY vs REAL MADRID nani anaenda fainali

MECHI ya kufa mtu MANCHESTER CITY vs REAL MADRID nani anaenda fainali

Ligi ya mabingwa ulaya inaendelea usiku hatimaye imefikia hatua nusu fainali , usiku huu kuna mtanange wa kufa mtu ukikutanisha miamba kati ya real manchester city vs real madrid ni mechi kali yenye mvuto wa kipekee itakuwa mechi ya kimbinu zaidi . Mtazamo wangu bado kipara nampa nafasi kutokana na mbinu zake ,karibuni wadau kwenye uchambuzi wa mechi hii
Kwa matokeo haya,fainali ni Madrid vs Liverpool
 
Agrigate itambeba Madrid marudiano.
IMG_20220427_051108.jpg
 
unajua maana ya agregate?
madrid akishinda 3-1 atakua kamtoa city kwa agregate ya 6-5

usichangaye kati ya agregate na away goal rule
Wat if Madrid akashinda 2 kwa 1 inakuaje au
 
Aggregate IPO mbona mechi ya simba na Orlando ilikuwepo au hii haifuati sheria za mabeberu
CAF wanatumia sheria ya aggregate pamoja na goli la ugenini. Ila UEFA wamefuta goli la ugenini wanangalia aggregate pekee
 
Back
Top Bottom