Mechi ya Simba na Yanga imeahirishwa

Mkuu hata siku moja kosa halihalalishi kosa kuwa sahihi.

Leo ndio ilikuwa kikomo cha huo upuuzi kuendelea katika soka la bongo.

Kufata taratibu na kanuni mlizojiwekea kunapima maadali ya ukifanyacho.
 
Walikubaliana wote kwa pamoja, siyo uhuni wa leo, then saa 6 huwezi fananisha na saa 9 na mechi 11.....usidhani wanacheza cheza tu.....wachezaji inatakiwa wale chakula kabla ya mechi angalau masaa ma5 kabla ya mechi.
 
Mtanyooka tuu
Unategemea kupata furaha kutoka kwa binadam mwenzako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…