Mechi ya Simba na Yanga imesogezwa hadi sa Moja Usiku

Mechi ya Simba na Yanga imesogezwa hadi sa Moja Usiku

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Mechi tajwa itachezwa saa moja usiku

====

TFF inawafahamisha wadau kuwa mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Simba SC na Yanga SC iliyokuwa ianze saa 11 jioni sasa itaanza saa 1 usiku.

TFF imepokea maelekezo ya mabadiliko ya muda wa kuanza mchezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

IMG-20210508-WA0031.jpg
 
IMG_20210508_144321_276.jpg

Taarifa ya TFF imesema mabadiliko hayo ni kutokana na maelezo ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

Tayari Yanga SC na Simba SC zimejuzwa juu ya mabadiliko hayo

======

Maamuzi sahihi lakini walitaliwa waamue at least siku 3 kabla sio siku ya mechi.

Aliyepanga mwanzoni saa 11 mwezi wa ramadhani ana matumizi mabovu ya akili aondolewe kabisa kwenye upangaji wa kitu chochote
 
Mechi ya simba na yanga itachezwa saa moja usiku badala ya saa kumi na moja jioni kama ilivyokuwa mwanzo

Taarifa hii imetolewa na Tff kwa madai kuwa wamepata maelekezo ya kusogeza muda mbele kutoka kwa wizara ya habari utamaduni

na michezo

20210508_143319.jpg
 
Maamuzi sahihi lakini walitaliwa waamue at least siku 3 kabla sio siku ya mechi.

Aliyepanga mwanzoni saa 11 mwezi wa ramadhani ana matumizi mabovu ya akili aondolewe kabisa kwenye upangaji wa kitu chochote
Alikuwa na akili kama zako tu

WOTE UTOPOLO

Kwanini hukushauri before? Ndio unajua leo kuna mfungo?

Mechi nyingine zooote huwa zinakuwa affected na mfungo?

Utopolo mna kazi
 
Mechi ya simba na yanga itachezwa saa moja usiku badala ya saa kumi na moja jioni kama ilivyokuwa mwanzo

Taarifa hii imetolewa na Tff kwa madai kuwa wamepata maelekezo ya kusogeza muda mbele kutoka kwa wizara ya habari utamaduni na michezoView attachment 1777435
Simply because Rais wa awamu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi leo anazindua kitabu kinachohusu maisha yake.
Tukio litakuwa mubashara kupitia runinga ya Channel ten.
 
Iwe kwarezma iwe ramadhan this z football match kibao zinachezwa na wachezaji wamefunga sio hapa bongo mpaka Ulaya Ila siasa zao wanaharibu mpira football it's all abt the passion[emoji460][emoji1241]
 
Back
Top Bottom