mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
utopolo kapata mwanya na kisingizio cha kukacha mechi ili kukwepa kichapo cha mbwa mwizi!!
Utopolo atapewa pointi 3 za mezani, iko hivi:
Yanga wataingiza timu uwanjani saa 11.00 joini. Ikifika saa 11.30 joini wataitoa timu uwanjani wakidai simba kaingia mitini!
Simba ataingiza timu uwanjani saa 1.00 usiku. Atawasubiri utopolo hadi saa 1.30 refa atapuliza kipenga cha mwisho na kutoa pointi 3 na magoli 2 kwa simba! Yanga watakata rufaa na itakataliwa na tff. Mwisho wa siku utopolo watakata rufaa fifa, na ikifika huko utopolo atashinda rufaa yake asubuhi!!! Simba atanyang'anywa zile pointi 3 na magoli mawili, kisha utopolo watapewa pointi 3 na magoli 2. Mwisho wa mchezo!
Hili dili limepangwa na yanga wenyewe halafu saa hii wanajifanya kulalamika. Cha kufanya kwa simba na wao waingize timu uwanjani hiyo saa 11.00 jioni! Hapo janja ya utopolo itakuwa imegonga mwamba.