Mechi ya Simba na Yanga imesogezwa hadi sa Moja Usiku

Mechi ya Simba na Yanga imesogezwa hadi sa Moja Usiku

Mbona timu zingine zina cheza hataa saa 8 mchana ...tifutifu wanantifua mchezo wa soka
 
Tff wamepewa amri na wizara ya michezo
sijaelewa kisa Ramadhan ndiyo mechi ichezwe saa moja?

Mbona Kwa resma haikua hivyo, wasituletee mambo ya kidini watu tumetoka majumbani toka saa tano mi TFF inakera sana
 
Mbona timu zingine zina cheza hataa saa 8 mchana ...tifutifu wanantifua mchezo wa soka

TFF imepokea maelekezo ya mabadiliko ya muda wa kuanza mchezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
 
Daaah ya inashangaza sAna sasa najiuliza vip wale walio wahi na kuingia mapema je wanafidiwa kw namna yoyote ile ama inakuwaje
Watakaa humo kusubiria mpaka saa 1 usiku
 
Hivi kuna tukio lipi la ghafla ambalo halikifahamika tangu mwanzo lililo fanya waahirishe mechi???
 
Mechi ya simba na yanga itachezwa saa moja usiku badala ya saa kumi na moja jioni kama ilivyokuwa mwanzo

Taarifa hii imetolewa na Tff kwa madai kuwa wamepata maelekezo ya kusogeza muda mbele kutoka kwa wizara ya habari utamaduni

na michezo

View attachment 1777435
Wizara ya habari ndio wanapanga ratiba siku hizi sio bodi ya league kushirikiana na Azam Tv wenye haki ya kurusha matangazo? Ok uamuzi mzuri sababu ya Ramdhan lakini hawa walikuwa wanajuwa ratiba ya mechi na muda siku nyingi mpaka jana wanajuwa hayo hakuna aliyewaza suala hilo ila wanakuja na statement baada ya kupewa maelekezo na wizara ya habari? shame kwa uongozi wote wa mpira hasa bodi ya league hamjielewi.
 
Ramadhan kitu gan wewe???

Yaam Ramadhan bongo tu??????

Ulaya huko ushaona hii???

Inamaana wanataka nn??? Wachezaji wale kwanza???? Mashabiki wale kwanza ??? Swala ??? Au nn????

Vipi wakrsto na Mfungo wao... Nao iwe ivyo???

TFF OVYOOOO, WIZARA WASENGEE.
 
Mexime alisema tunaviongozi wajinga wanaongoza soka.
Mexime yupo sahihi kabisa Mpira unaongozwa na mijitu mijinga sana. Mnaochagua viongozi wa TFF hebu muwe mnapiga Kura kiuweledi na muachane na vizawadi vidogovidogo vya kuwarubuni mnapopiga Kura mtupatie watu makini wakuongoza Mpira.
 
mechi za usiku Yanga hazipendi kabisa, hata kama anacheza na Mbeya City
 
Back
Top Bottom