Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Taarifa ya TFF imesema mabadiliko hayo ni kutokana na maelezo ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Tayari Yanga SC na Simba SC zimejuzwa juu ya mabadiliko hayo
Alikuwa na akili kama zako tuMaamuzi sahihi lakini walitaliwa waamue at least siku 3 kabla sio siku ya mechi.
Aliyepanga mwanzoni saa 11 mwezi wa ramadhani ana matumizi mabovu ya akili aondolewe kabisa kwenye upangaji wa kitu chochote
Mijinga sanaa yaan mijingaaasijaelewa kisa Ramadhan ndiyo mechi ichezwe saa moja?
Mbona Kwa resma haikua hivyo, wasituletee mambo ya kidini watu tumetoka majumbani toka saa tano mi TFF inakera sana
Daaah ya inashangaza sAna sasa najiuliza vip wale walio wahi na kuingia mapema je wanafidiwa kw namna yoyote ile ama inakuwajeIli watu wafuatilie uzinduzi wa kitabu cha Mwinyi siyo ?
Kipigo kwa nan??Kipigo kipo pale pale
Simply because Rais wa awamu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi leo anazindua kitabu kinachohusu maisha yake.Mechi ya simba na yanga itachezwa saa moja usiku badala ya saa kumi na moja jioni kama ilivyokuwa mwanzo
Taarifa hii imetolewa na Tff kwa madai kuwa wamepata maelekezo ya kusogeza muda mbele kutoka kwa wizara ya habari utamaduni na michezoView attachment 1777435
Simba atajuta kuja uwanjan saa moja ..Kipigo kwa nan??