Ona Sasa wameanza Waziri na TFF wanalakujibu hapa.Bonge la kosa watajutia kwa Yanga navyo wajua.Kuna wavuta BANGI wanataka kukimbia.
Sie hata point za mezani tunachukua.
MPIRA SAA 1 USIKUView attachment 1777511
Safi kabisa,waliofunga wapate kufturu na Wasabato jua litakuwa limezama,Mechi ya simba na yanga itachezwa saa moja usiku badala ya saa kumi na moja jioni kama ilivyokuwa mwanzo
Taarifa hii imetolewa na Tff kwa madai kuwa wamepata maelekezo ya kusogeza muda mbele kutoka kwa wizara ya habari utamaduni
na michezo
View attachment 1777435
Kwani hii ndio mechi ya kwanza kuchezwa ndani ya mwezi ya huu wa Ramadhani? Kwani Simba hakucheza mechi yoyote ndani ya mwezi huu wa Ramadhani? Na Yanga hakucheza mechi yoyote ndani ya mwezi huu wa Ramadhani?View attachment 1777448
======
Maamuzi sahihi lakini walitaliwa waamue at least siku 3 kabla sio siku ya mechi.
Aliyepanga mwanzoni saa 11 mwezi wa ramadhani ana matumizi mabovu ya akili aondolewe kabisa kwenye upangaji wa kitu chochote
Ona Sasa wameanza Waziri na TFF wanalakujibu hapa.Bonge la kosa watajutia kwa Yanga navyo wajua.
Mtani nipe utabiri wako[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851] unapindua matokeo?
Mnyama atashinda japo kwa tabu mtaniMtani nipe utabiri wako
Hahahaaaa nasikia mmepeleka muda mbele ili mshindeMnyama atashinda japo kwa tabu mtani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]gomeeni mechi mtaniHahahaaaa nasikia mmepeleka muda mbele ili mshinde
Kubadilisha muda sio tatizo, tatizo ni kubadilisha muda wakati mashabiki tayari wako uwanjaniAlikuwa na akili kama zako tu
WOTE UTOPOLO
Kwanini hukushauri before? Ndio unajua leo kuna mfungo?
Mechi nyingine zooote huwa zinakuwa affected na mfungo?
Utopolo mna kazi
Kosa walilofanya ni kubadili muda siku ya mchezo wakati mashabiki tayari wako uwanjani, kama wangebadili muda siku 3/4 kabla ya mchezo isingekuwa tatizoKwani hii ndio mechi ya kwanza kuchezwa ndani ya mwezi ya huu wa Ramadhani? Kwani Simba hakucheza mechi yoyote ndani ya mwezi huu wa Ramadhani? Na Yanga hakucheza mechi yoyote ndani ya mwezi huu wa Ramadhani?
Mimi na Yanga wapi na wapi??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]gomeeni mechi mtani
[emoji1548][emoji1548][emoji1548]nilitaka kushangaa SANA mtaniMimi na Yanga wapi na wapi??
Jamaa wamegoma??[emoji1548][emoji1548][emoji1548]nilitaka kushangaa SANA mtaniView attachment 1777557