Mechi ya Simba na Yanga yasogezwa mbele. Kuchezwa 25 June, 2025

Kwa picha nilizo ziona kutoka Dodoma Chamwino, kama kawaida yetu mwendo wa hekima na busara,maswala ya kanuni yamewekwa kando. Kesho litajirudia lile lile, kama la Fei likaja kujirudia kwa Dube. Tuna safari ndefu na mpira wetu,kweli soka letu kivyetu vyetu.Sizani kama tunalisaidia soka letu, leo Msemaji wa Mtibwa anakwambia wameshinda ubingwa wa Championship wamepewa kombe, ila hela zao hawajapewa vipi hawa nao?

Ninavyojua mpira wetu na imani zetu tarehe 24 hamna,walio lalamika kufungiwa huwanja hawata peleka timu kufanya mazoezi kabla ya mechi.
 
Shida si mchezo kusogezwa mbele. Yanga walikuwa wanataka bodi ya ligi ijiuzulu lakini inavyoonekana wametepeta na wala malalamiko yao yametupiliwa mbali.

Ameenda mmiliki wa 🐸🐸 mwenyewe, hersi kachochora.
 
Sijui itakuwaje kwenye vipindi vya michezo Jumatatu naona wale wachambuzi bahasha povu kama lote
 
YANGA NI LIDUDE LIKUBWA SANAAA

WAGOME SASA KAMA WANAWEZA

MAKOLO MTULIEE
 
Mmefeli pakubwa sana mnaiendesha klabu kama kijiwe cha kahawa​
Umeziona picha kutoka Dodoma Chamwino? Kama la Fei tu ,baadae likaja kujirudia kwa Dube, sijui lini tutajifunza kusimama kwenye kanuni,nina huakika hili litajirudia tena.Hapa ndipo najua why FIFA walikataa mpira kuchanganya na siasa.

Tuna safari ndefu na mpira wetu,kweli soka letu kivyetu vyetu.Sizani kama tunalisaidia soka letu, leo Msemaji wa Mtibwa anakwambia wameshinda ubingwa wa Championship wamepewa kombe, ila hela zao hawajapewa vipi hawa nao?

Na kwa jinsi ninavyo lijua soka letu na imani zake,zililivyo hao walisema wamefungiwa kufanya mazoezi,tarehe 24 hawatoenda kufanya mazoezi.
 
HIi inamaana kwa TFF au bodi ya Ligi kutokuharikwa kwenye hiko kikao?? Wanatakiwa kujitafakari sana.
Umenena. Kama hawakuepo wajitafakari. Ila naamini walikuwepo na ndio maana wameusogeza mchezo mbele
 
Haya ndiyo madhara ya kuchanganya Soka na Siasa. Siku CAF na FIFA watashusha rungu lao kwenye mpira wetu wa Bongo labda ndio tutaelewana vizuri...
 
Hivi bodi na viongozi wa TFF wamejiuzulu au yanga wamelipwa pesa zao.
Hizi zote ni mchezo wa kufifisha no reform no electionI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…