Mechi ya Simba na Yanga yasogezwa mbele. Kuchezwa 25 June, 2025

Jana Simba walitoa Barua yao, tuone sasa kama wana Akili ngumu na Rais ameweka watu mfukoni leo!

Ila Yanga naona kafanikiwa kuhairishwa kwa mechi, basi Simba ni mikwara tu!
Kumbuka yanga walitaka watu waachie nafasi zao
 
Hii ya tarehe 25.06.2025 ni maamuzi ya ikulu siyo maamuzi ya Tff wala bodi ya ligi wa nani ni ikulu tu.....maana Leo viongozi wa Simba na yanga waliiitwa chamwino DODOMA..
Hapo bwana Wallece Karia na bodi Yako fake ya ligi mjitafakari...
Japo ni kzi ngumu Kwa ngozi nyeusi kujitafakari ila Sasa hivi bwana Wallece Karia jaribu kutumia hekima aisee
 
Hivi hekima inauzwa wapi na Kwa bei gani na kwanini watu wasio na hekima hupewa dhamana
 
Nasubiri kauli Rasmi ya Klabu yangu ya Simba ikiwa na ufafanuzi wa barua ya jana kwamba mechi ikiahirishwa tarehe 15 Simba HATUCHEZI. Baada ya hapo nitatoa maoni yangu kama Katibu wa Tawi la Simba mmojawapo hapa Jijini Mwanza.
 

NO REFORMS NO ELECTION
 
huyo Kigogo wa Serikali aliyetoa amri ya geti kutofunguliwa naye ajiuzuru ama sivyo Rais atengue uteuzi wake

Quote
 
Mnatuchanganya tusahau mambo ya deni sio.
 
Wazee wa sheria na kanuni nataka leo sasa tujadili vizuri sheria.

Leo mechi imehairishwa nataka uniambie ni kanuni gani imetumika?

Halafu vipi kuhusu zile demands zenu za Bodi ya ligi ijiuzulu ili muwe tayari kucheza Derby zimeishia wapi?
Demanda umeanza kuona zinajibu sasa
 
Reactions: Exy
Wazee wa sheria na kanuni nataka leo sasa tujadili vizuri sheria.

Leo mechi imehairishwa nataka uniambie ni kanuni gani imetumika?

Halafu vipi kuhusu zile demands zenu za Bodi ya ligi ijiuzulu ili muwe tayari kucheza Derby zimeishia wapi?
Ona aibu basi... Lilikuwa swala muda tu hao tff na bodi ya ligi kuachia ngazi!!. Mnaleta ushabili kwenye mambo ya msingi!. Kila dai la yanga litatelelezwa pasina shaka!. Hii mechi ya trh 15 haijahairishwa coz nayo ilikuwa batili ndio maana yanga akaigomea.
 
Utoto wa Viongozi wa Hanga unaweza kukuta hicho ndio walichokuwa wanataka,kuitwa meza kuu.Nilitamani sana kuona Yanga wangewapeleka waki kina pakame na big g duara baada ya kushushwa daraja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…