Mechi ya Simba vs Mtibwa na Ihefu, siyo kipimo sahihi kwa kwa mchezaji Jean baleke na kuanza kumuita "the goal machine"

Mechi ya Simba vs Mtibwa na Ihefu, siyo kipimo sahihi kwa kwa mchezaji Jean baleke na kuanza kumuita "the goal machine"

Alipochukua kiatu cha ufungaji ligi kuu ya DRC mbele ya huyo mayele WENU bado hakua kipimo?
 
Tangu Phiri apate majeraha manywele kafunga mangapi?
Phiri asingepata majeraha angekuwa anaongoza kwenye orodha ya wafungaji.
Aendelee kuongoza tu unafikiri kufunga ni matako Kila mtu anayo/ anao uwezo wakufunga.
 
Hizi timu unazoziita dhaifu (mtibwa na Ihefu) hata manywele alicheza nazo lakini hatukuona alichokifanya . Mbaya zaidi hii Ihefu unayoiita dhaifu ndiyo iliyowatoa bikra .

Basi tuseme hata manywele ni galasa anafunga timu dhaifu kwasababu timu alizozifunga ndizo hizihizi za ligi kuu ya NBC anazozifunga Jean Baleke a.k.a JINI BALEKE
View attachment 2583838
Nani asiyejua kilichofanyika kwenye benchi la ufundi la ihefu (bahasha)
 
Back
Top Bottom