NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #81
"Nb: mechi kumi za mwisho mashindano yote: Baleke goli 12,Mayele goli 4."Kipimo Cha Mayele kilikuwa Zalan FC au siyo.
Hivyo tutumie ligi ipi kumpima.
Kwahiyo kocha anamtuma uwanjani kufanya nini?
Mcheezaji kufunga inategemea fitness yake, mbinu za kocha na mazingira ya timu kwa ujumla. Kombinesheni ya ubora wa wachezaji wenzake pia.
Kwani Mazembe pale mna timu gani?
Swali ni je tumpime kwa mechi gani, Na je akifanya vizuri tisimsifie?
WEWE NI UTOPOLO HUJUI CHOCHOTE KUHUSU UTOPOLO YAKO KUTWA UNAIWAZA SIMBA. hamna Cha kuandika kuhusu Yanga yenu?
Nb: mechi kumi za mwisho mashindano yote: Baleke goli 12,Mayele goli 4.
Hata Kama baleke atakua na magoli kumi na mbili kumzidi mayele lakini bado mayele ataitwa the goal machine kwa sababu mpaka Sasa ana magoli mengi
Huyo balleke kwa namna mnavyompamba bado hajafikia hiyo level yakuitwa the talk of the Town Kama kolo mwenzio OKW BOBAN SUNZU anavyomtukuza .