Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo tupo huku na Babu yako tunaandaa matunguli nakuweka hali ya hewa sawia Simba afe mbele ya ihefu.Bado kidogo unaelekea kuwa mchawi...
Wewe sjui Kuna makamasi kichwani mwako.Wydad away kawaweka pia kenge wa kijani weeeeeh
Horoya kawaweka pia na hizo ni klabu bingwa sio luzaz boya weeeeeh
Asiyekuelewa basi ana chembe chembe za Upinde.Mkuu kazi ya mshambuliaji ni kuweka kambani tu haijalishi atafunga dhidi ya timu gani.. Hata hao wakina Messi Na Ronaldo ukisikia wamefunga magoli mia saba ujue pia kuna matimu ya ovyo walifunga na rekodi zinaandikwa!
Kacheza mechi ngapi kwani mkuu,au unabisha bisha tu bila ushahidi??Tatizo mnalazimisha kwa mechi mbili kwa kumuita goal machine nakumpamba ngoja tuone mbona sikuhizi hamuimbi Tena kuhusu phiri Nini kimetokea.
Kwa hiyo unataka tumuite baleke kwa the goal machine kwa hizi timu mbili tu.Mayele amekuwa akisifiwa kwa kuzifunga timu zipi mkuu au Al ahly na Wydad cassablanca
Kwa hiyo mkuu unataka tumuite the goal machine so Bora hata nimuite George mpoleKacheza mechi ngapi kwani mkuu,au unabisha bisha tu bila ushahidi??
Sawa afande wa zenji Asante kwa kushiriki.Asiyekuelewa basi ana chembe chembe za Upinde.
Kipimo Cha Mayele kilikuwa Zalan FC au siyo.Najua matusi na kejeli zitamwagika Kama mvua ya mawe baada tu NALIA NGWENA kuzungumza ukweli huu mchungu usiopingika.
Zimeibuka kelele nyingi zakumtukuza Jean Baleke kuwa ni "talk of town" wengine wakikata mayenu Kama Pape osumane sakho alivyokuwa akimburudisha sadio mane na wenzake ndani ya timu ya taifa ya Senegal.
Makelele ya Jean baleke kuwa ni goal mashine yamenishitua mwamba nakwenda kupekua wasifu wake nione je huko alikotoka ana uchembe chembe wakufunga magoli?? Maana ni Jambo la kushangaza kumtukuza kwa kuifunga ihefu na mtibwa Tena mpira wote tumetazama, mpira uliochezwa na mtibwa na ihefu ni wa kiwango Cha chini sana hata babu yangu mzee NGWENA ukimpa jezi anafunga.
Jean baleke alicheza Lebanese leage timu inayoitwa nejmeh jumla ya michezo 11 dakika 519 jumla ya magoli yote ni 3 na assist 1.
Akiwa TP Mazembe mwamba Jean baleke alicheza michezo 5, dakika 196 hakufanikiwa kufunga goli Wala assist yakufutia machozi.
Kwa takwimu hizo mbovu na ndiyo maana tp Mazembe waliamua kumtoa kwa mkopo kuja katika league yetu hii tia maji tia maji.
My take, bado Jean baleke hajafikia hatua yakuitwa "the goal machine" Kwa kuifunga mtibwa na ihefu, timu zilizocheza mpira kwa kiwango dhaifu sana, Nasema siwezi kumpamba au kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa huo ni upuuzi.
View attachment 2581894View attachment 2581895
Dhihirisha rangi yako mkuu acha kujificha ficha.Sawa afande wa zenji Asante kwa kushiriki.
Mnaelekea pabayaHuna hela upewe ndugu wa nini?Hebu tulia wewe unywe "mbeke"!
Hana kumbukumbu huyoBrother JEAN BALEKE msimu wa 2020-2021 akiwa TP ENGLABA MAZEMBE ndiye aliye mzuia FISTO KALALA MAYELE Akiwa AS VITA CLUB Asichukue kiatu cha ufungaji Bora katika ligi ya Congo Sasa unataka tumuite nani GOAL MACHINE?
So tutumie nn kumpima. Kwasababu ndiyo Kazi aliyomtuma kocha.Kweli mkuu mpira ni mchezo wa wazi kabisa, kiwango walichokionyesha mtibwa na ihefu huwezi kuanza kumpamba mtu wakati galasa tu.
Hapana mkuu, Ihefu Ni timu bora na imara, Simba walinunua Ile mechi.huu ni ukweli simba juzi walitupa maburineti mochwari
Tukumbushe Matokeo km una kichwa chenye ubongo na si mavi.huu ni ukweli simba juzi walitupa maburineti mochwari