NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
Haya tuendeleee kuangalia mpiraHahaha, mimi sijakulazimisha mkuu na sijamuita goal scoring machine.. ila yote kwa yote muda utaongea mkuu! Boli linachezwa peupeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya tuendeleee kuangalia mpiraHahaha, mimi sijakulazimisha mkuu na sijamuita goal scoring machine.. ila yote kwa yote muda utaongea mkuu! Boli linachezwa peupeee
Hamna noumer mkuu! PamojaHaya tuendeleee kuangalia mpira
Jamaa mwenzako ametoka kukusema kuhusu kuanzisha nyuzi nyingi nyingi za Simba, kabla hajamaliza umeshaanzisha mwingine! 😁😁😁Jean baleke alicheza Lebanese leage timu inayoitwa nejmeh jumla ya michezo 11 dakika 519 jumla ya magoli yote ni 3 na assist 1.
Mimi nimezungumzia ukweli halisi sijazungumzia Mambo ya simba hapo.Jamaa mwenzako ametoka kukusema kuhusu kuanzisha nyuzi nyingi nyingi za Simba, kabla hajamaliza umeshaanzisha mwingine! [emoji16][emoji16][emoji16]
Ukiniambia kwanini mayele alitemwa na vita ambayo ilikuwa inajua ina mashindano ya klabu bingwa afrika ndio ntakwambia kwanini alitoka lebanon!Unajua ni kwa Nini Lebanese walimrudisha huyo mwamba mbayemuita the goal machine
Unajua kwa nini Simba walimrudisha Morrison? 😁Unajua ni kwa Nini Lebanese walimrudisha huyo mwamba mbayemuita the goal machine
Hakuna unachoafiki wewe.Inaonekana hata kitandani una gubu sana.Najua matusi na kejeri zitamwagika Kama mvua ya mawe baada tu NALIA NGWENA kuzungumza ukweli huu mchungu usiopingika.
Zimeibuka kelele nyingi zakumtukuza Jean baleke kuwa ni "talk of town" wengine wakikata mayenu Kama Pape osumane sakho alivyokuwa akimburudisha sadio mane na wenzake ndani ya timu ya taifa ya Senegal.
Makelele ya Jean baleke kuwa ni goal mashine yamenishitua mwamba nakwenda kupekua wasifu wake nione je huko alikotoka ana uchembe chembe wakufunga magoli?? Maana ni Jambo la kushangaza kumtukuza kwa kuifunga ihefu na mtibwa Tena mpira wote tumetazama, mpira uliochezwa na mtibwa na ihefu ni wa kiwango Cha chini sana hata babu yangu mzee NGWENA ukimpa jezi anafunga.
Jean baleke alicheza Lebanese leage timu inayoitwa nejmeh jumla ya michezo 11 dakika 519 jumla ya magoli yote ni 3 na assist 1.
Akiwa TP Mazembe mwamba Jean baleke alicheza michezo 5, dakika 196 hakufanikiwa kufunga goli Wala assist yakufutia machozi.
Kwa takwimu hizo mbovu na ndiyo maana tp Mazembe waliamua kumtoa kwa mkopo kuja katika league yetu hii tia maji tia maji.
My take, bado Jean baleke hajafikia hatua yakuitwa "the goal machine" Kwa kuifunga mtibwa na ihefu, timu zilizocheza mpira kwa kiwango dhaifu sana, Nasema siwezi kumpamba au kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa huo ni upuuzi.
View attachment 2581894View attachment 2581895
Upo sahihi Nina gubu sana kitandani usije kujaribu kunipa ndugu yako yoyote wa kike.Hakuna unachoafiki wewe.Inaonekana hata kitandani una gubu sana.
Sawa dangote endelea kupiga hela zako huko nigeriaMasikini.
ADUI UJINGA ANAONGEZEKA KWA KASI KUBWA SANA....
Baki na jibu lako na Mimi nibaki na jibu langu.Ukiniambia kwanini mayele alitemwa na vita ambayo ilikuwa inajua ina mashindano ya klabu bingwa afrika ndio ntakwambia kwanini alitoka lebanon!
Huna hela upewe ndugu wa nini?Hebu tulia wewe unywe "mbeke"!Upo sahihi Nina gubu sana kitandani usije kujaribu kunipa ndugu yako yoyote wa kike.
Ni sahihi kabisa 🤓Najua matusi na kejeri zitamwagika Kama mvua ya mawe baada tu NALIA NGWENA kuzungumza ukweli huu mchungu usiopingika.
Zimeibuka kelele nyingi zakumtukuza Jean baleke kuwa ni "talk of town" wengine wakikata mayenu Kama Pape osumane sakho alivyokuwa akimburudisha sadio mane na wenzake ndani ya timu ya taifa ya Senegal.
Makelele ya Jean baleke kuwa ni goal mashine yamenishitua mwamba nakwenda kupekua wasifu wake nione je huko alikotoka ana uchembe chembe wakufunga magoli?? Maana ni Jambo la kushangaza kumtukuza kwa kuifunga ihefu na mtibwa Tena mpira wote tumetazama, mpira uliochezwa na mtibwa na ihefu ni wa kiwango Cha chini sana hata babu yangu mzee NGWENA ukimpa jezi anafunga.
Jean baleke alicheza Lebanese leage timu inayoitwa nejmeh jumla ya michezo 11 dakika 519 jumla ya magoli yote ni 3 na assist 1.
Akiwa TP Mazembe mwamba Jean baleke alicheza michezo 5, dakika 196 hakufanikiwa kufunga goli Wala assist yakufutia machozi.
Kwa takwimu hizo mbovu na ndiyo maana tp Mazembe waliamua kumtoa kwa mkopo kuja katika league yetu hii tia maji tia maji.
My take, bado Jean baleke hajafikia hatua yakuitwa "the goal machine" Kwa kuifunga mtibwa na ihefu, timu zilizocheza mpira kwa kiwango dhaifu sana, Nasema siwezi kumpamba au kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa huo ni upuuzi.
View attachment 2581894View attachment 2581895
Sawa benki yangu maana wewe ndiyo unatunza fedha zangu za mkaaHuna hela upewe ndugu wa nini?Hebu tulia wewe unywe "mbeke"!
Horoya nayo timu yakujisifu??Mmmh Raja na Horoya je???
Unazi unazi yaani lazima tu mtu apinge.
Ihefu ile utaifananisha na hii ifu ya mchongo ihefu ya bahasha hivi uliangalia mpira weweUnaandika yote haya kujifariji?
Mayele alipopata hat trick dhidi ya Zalani fc siyo nyie mlikenua magego na kujipiga vifua?
Ihefu alikufunga na Mayele yupo mpaka dakika 90 zikaisha, leo unasema siyo kipimo unataka amfunge nani?
Jamani!