NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #41
Asante sana afande wa zenji.Ushavimbiwa mihogo cherema umeamua kuja kujamba hapa jukwaani kweli aliyesema nyuma kunawalipa hakukosea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana afande wa zenji.Ushavimbiwa mihogo cherema umeamua kuja kujamba hapa jukwaani kweli aliyesema nyuma kunawalipa hakukosea.
Hahahah 🤣😂🤣Ukifafanua hivi unamchanganya
Mtoto wa kiume kucheka cheka Kama afande wa zenji haifaiHahahah [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Asante sana kwa kushiriki afande wa zenjiWewe jamaa kwenye ile orodha ya Mwakyembe utakuwa namba moja
Hilo umeongea wewe unayejua football siyo wale mbumbumbu wenzako wanaompamba utadhani Bibi harusi anakwenda kuolewa.Up and down kwenye soccer ni kawaida sana mkuu. Sasa ulitaka afunge kwenye ligi ipi , na wakati anacheza Tanzania. Au umpime kwenye ligi ya taifa lipi( south africa , Algeria au misri ..) ili iwe kipimo sahihi kwako unavyoona?
Tuwasifie Vipers au Zalan.Unasemaje arawa?Horoya nayo timu yakujisifu??
Baada yakumaliza msimu akiwa na magoli yakutosha huo ulikua ni mwendelezo tu.Mbona nyie mayele mlimwita goal machine kwenye mechi na zaalan fc,
Ndiyo maana Ahmed Ally Alisema hii ni lig dhaifu kwa Mambo haya haya
Wacha wivu wa kisengerema wewe mshambaNajua matusi na kejeli zitamwagika Kama mvua ya mawe baada tu NALIA NGWENA kuzungumza ukweli huu mchungu usiopingika.
Zimeibuka kelele nyingi zakumtukuza Jean Baleke kuwa ni "talk of town" wengine wakikata mayenu Kama Pape osumane sakho alivyokuwa akimburudisha sadio mane na wenzake ndani ya timu ya taifa ya Senegal.
Makelele ya Jean baleke kuwa ni goal mashine yamenishitua mwamba nakwenda kupekua wasifu wake nione je huko alikotoka ana uchembe chembe wakufunga magoli?? Maana ni Jambo la kushangaza kumtukuza kwa kuifunga ihefu na mtibwa Tena mpira wote tumetazama, mpira uliochezwa na mtibwa na ihefu ni wa kiwango Cha chini sana hata babu yangu mzee NGWENA ukimpa jezi anafunga.
Jean baleke alicheza Lebanese leage timu inayoitwa nejmeh jumla ya michezo 11 dakika 519 jumla ya magoli yote ni 3 na assist 1.
Akiwa TP Mazembe mwamba Jean baleke alicheza michezo 5, dakika 196 hakufanikiwa kufunga goli Wala assist yakufutia machozi.
Kwa takwimu hizo mbovu na ndiyo maana tp Mazembe waliamua kumtoa kwa mkopo kuja katika league yetu hii tia maji tia maji.
My take, bado Jean baleke hajafikia hatua yakuitwa "the goal machine" Kwa kuifunga mtibwa na ihefu, timu zilizocheza mpira kwa kiwango dhaifu sana, Nasema siwezi kumpamba au kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa huo ni upuuzi.
View attachment 2581894View attachment 2581895
Asante sana kwa ushauri afande wa zenji[emoji41]
Hapo kinyeo kinakuwashaAsante sana kwa ushauri afande wa zenji[emoji41]
Brother JEAN BALEKE msimu wa 2020-2021 akiwa TP ENGLABA MAZEMBE ndiye aliye mzuia FISTO KALALA MAYELE Akiwa AS VITA CLUB Asichukue kiatu cha ufungaji Bora katika ligi ya Congo Sasa unataka tumuite nani GOAL MACHINE?duh!
mshahangae mleta mada!Brother JEAN BALEKE msimu wa 2020-2021 akiwa TP ENGLABA MAZEMBE ndiye aliye mzuia FISTO KALALA MAYELE Akiwa AS VITA CLUB Asichukue kiatu cha ufungaji Bora katika ligi ya Congo Sasa unataka tumuite nani GOAL MACHINE?
Kivipi yaani zungumza kwa data ueleweke weka data hapa.Brother JEAN BALEKE msimu wa 2020-2021 akiwa TP ENGLABA MAZEMBE ndiye aliye mzuia FISTO KALALA MAYELE Akiwa AS VITA CLUB Asichukue kiatu cha ufungaji Bora katika ligi ya Congo Sasa unataka tumuite nani GOAL MACHINE?
Sasa hiyo inamaanisha alianza kuitwa goal machine kwenye mechi za timu za ligi kuu,ila ni wazi kuwa hata timu zetu ni bora pia so mayele ni goal machine na baleke ni goal machine pia,mtu akibisha hili hawezi kuwa makini.Baada yakumaliza msimu akiwa na magoli yakutosha huo ulikua ni mwendelezo tu.
Tatizo mnalazimisha kwa mechi mbili kwa kumuita goal machine nakumpamba ngoja tuone mbona sikuhizi hamuimbi Tena kuhusu phiri Nini kimetokea.Sasa hiyo inamaanisha alianza kuotwa goal machine kwenye mechi za timu za ligi kuu,ila ni wazi kuwa hata timu zetu ni bora pia so mayele ni goal machine na baleke ni goal machine pia,mtu akibisha hili hawezi kuwa makini.