redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Mechi kama izi ilitakiwa achezeshe Arajiga ata Mechi Nzito za Azam au Yanga uchezesha Arajiga ndiye Refa Bora namba Moja kwasasa.Huu mchezo mchafu unachezwa na bodi ya ligi na hata waamuzi wanachezesha mechi za Simba 80% ni wanawake
Cha ajabu utashangaa Tabora wanapomaliza tu game ya Simba wiki ijayo vibali na lesen vimeshapatikana, huu uhuni wa kitotoš¤£š¤£
Ukitaka kujua kua Simba ndio Wana panga Marefa wa mechi zao tafuta mechi ambayo Arajiga amechezesha mechi ya Simba.
Ndio maana Mechi na Azam dhidi ya Simba Refa ndio alikua Nyota wa Mchezo.
Dodoma JiJi vs Simba Refa alikua nyota wa mchezo.
Pamba vs Simba Refa alikua nyota wa mchezo.
Mashujaa vs Simba Refa alikua nyota wa mchezo.
Singida Black Star vs Simba Refa alikua Nyota wa Mchezo.
Usifikiri Bodi ya Ligi au Chama Cha Marefa hawaoni ila ndio njia inayo tumika kuibeba Simba.
Mechi ijayo Refa ni uyo Mama Amina Kyando, Yeye na Tatu Malogo ni marefa wa Simba.
Hakuna Mechi yoyote inayo onekana Ngumu kwa Simba akapewa Arajiga Ambaye ni Refa namba Moja Nchini, Simba hawamtaki kwakua Alisha goma kuchukua pesa zao za Hongo.
Alisha waambia siku akichezesha mechi Yao wajipange yeye Hataki Upendeleo wowote.
Yaani marefa wa Simba uwa wanapambana kuliko ata ao wachezaji wa Simba, Yaani anamaliza mechi Yuko hoi ki saikolojia maana anajua amefanya dhulma hadharani.