Mechi ya Tabora United vs Simba huwa kuna upangaji matokeo ya wazi

Mechi ya Tabora United vs Simba huwa kuna upangaji matokeo ya wazi

Kama wana uwezo wakuifunga simba wataifunga tu maana wameifunga Yanga na Azam akiwa na kikosi hiko hiko kwahiyo tusitafute kichaka cha kuongea mnyama akijipigia nyingi Jpili
Kikosi haliwezi kuwa kile kike Kuna wachezaji wametoka nawaliojaza nafasi zao hawatacheza
Mbona mnakuwa wagumu kuelewa
 
Hiyo ahadi ya Mkuu wa mkoa wa Tabora ni zuga tu, kama ana million 50 kwanini asiwape Wakamilishe usajili wa wachezaji wa kigeni
Unampangia tajiri? Yeye anataka ushindi, wewe unataka vibali. Unaweza na wewe ukatoa ahadi yako kwa atakayewezesha kupatikana kwa vibali ili kila mtu spate anachotaka
 
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Sasa hujui dirisha la usajili wachezaji wanatoka na kuingia
Katika kile kikosi kilichowachapa 3 kwa 1 nitajie hao wachezaji waliotoka dirisha hili dogo
 
Huu mchezo mchafu unachezwa na bodi ya ligi na hata waamuzi wanachezesha mechi za Simba 80% ni wanawake
Cha ajabu utashangaa Tabora wanapomaliza tu game ya Simba wiki ijayo vibali na lesen vimeshapatikana, huu uhuni wa kitoto🤣🤣
Bodi ya ligi haiombi wala kutoa vibali, futa ujinga
 
Kikosi haliwezi kuwa kile kike Kuna wachezaji wametoka nawaliojaza nafasi zao hawatacheza
Mbona mnakuwa wagumu kuelewa
Kwenye ile first eleven nani kaachwa au kauzwa ?
 
Yanga kidume
Hawezi kucheza mashindano yenu ya akina mama
Ndo maana mrembo wetu 5imba tushamfunga mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5
Na Yanga tupo robo final ya mashindano ya akina bibi 🤣 shirikisho la crdb.... Ni aibu sana.
 
Imeripotiwa kuwa Tabora United imekosa kiasi cha million 20 ili kulipia vibali vya wachezaji wa kigeni.
Lakini tukumbuke Mkuu wa mkoa wa Tabora ametoa ahadi ya million 50 timu hiyo ikiifunga Simba.

Hiyo ahadi ya Mkuu wa mkoa wa Tabora ni zuga tu, kama ana million 50 kwanini asiwape Wakamilishe usajili wa wachezaji wa kigeni

Kiongozi mwandamizi wa Tabora United alikuwa Mwenyekiti wa Simba zamani Mzee Rage, hapa Kuna upangaji matokeo unaratibiwa wazi wazi

Tukumbuke Tabora United alifungwa na Simba mechi mkondo wa kwanza Kwa kuwa na wachezaji pungufu maana wachezaji wengi wa timu hawakuwa na vibali

Tunawaomba tFF ihairishe huu mchezo hadi Tabora United Wakamilishe mchakato wa wachezaji wao wapate vibali

TFF, wachukulie hatua Simba na shoga yake Tabora United, Kwa kosa la kupanga matokeo
Washushwe daraja
Kawalipieni nyie sio mnahonga wachezaji wachache wachome.
 
Hivi Bingwa wa kombe hili ambalo Uto wanaliita Kombe la Wanawake, ni nani hapa nchini!Kwa hiyo ni mwanamke Bingwa!
 
Back
Top Bottom