Mechi ya Tabora United vs Simba huwa kuna upangaji matokeo ya wazi

Mtoa mada una akili za kitoto sana ndio mana manara alisema Yanga watu wenye akili ni wawili tu.Timu yenu ikianzaga kuboronga tu lazima ziwepo tuhuma kwa TFF ,Marefa na Bodi ya Ligi..hii ni akili ya kitoto kabisa.Wachezaji waliopo ndio walioonesha upinzani wa kutosha mzunguko wa kwanza na mbaya zaidi waliwachapa 3-1 kama mmesimama iweje mtake tucheze na wageni.Au lengo lenu tucheze na wageni tuwafunge mje kusema hamjakutana na Tabora ya round ya kwanza.Ifikie wakati ushabiki usiwafanye kuwa brainwashed.Na hao mnaolilia wapewe vibali ili wacheze mechi ya Simba mnazani watapata muda wa kutosha ku catch up na wenzao??
 
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Sasa hujui dirisha la usajili wachezaji wanatoka na kuingia
 
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Sasa hujui dirisha la usajili wachezaji wanatoka na kuingia
Siwezi kubishana na wewe maana hoja yako ni dhaifu sana.Ungezungumzia dirisha la usjali ningekuelewa lakini sio kuizungumzia simba.Kwanza kwa upande wa Simba kuchezeshwa wachezaji wageni kwake ni faida kubwa kwa sababu wanakuwa bado hawajazoeana na wenzao kwa hiyo kuwapiga ni rahisi mnoo kuliko hawa ambao wameshakaa karibu nusu msimu.
 
Ndo maana nasema Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Wachezaji wanatoka na kuingia
Baadhi ya wachezaji wa Tabora United wametoka na walioingia hawatacheza.
 
Sio Kweli
 
Ndo maana nasema Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Wachezaji wanatoka na kuingia
Baadhi ya wachezaji wa Tabora United wametoka na walioingia hawatacheza.
Tatizo lako uko brainwashed ..niambie ni staa gani katika wachezaji tegemeo wa Tabora aliyeondoka?
 
Hivi suala la vibali vya wachezaji watatu ni suala la kughair mechi? Mbona hata Simba na Yanga kuna wakati zinashindwa kuwatumia wachezaji waliowasajili kwa kuchelewa kupata vibali.
 
SIMBA YUPO CAF INAYOITWA MICHUANO YA WANAWAKE.SASA KULE SIJUI NANI ALIPANGA MATOKEO.
Hii si ndio michuano mlicheza majuzi ,basi.mjiandae mkichukua ubingwa tutaeabafilisha jinsia tuwawekee va 'ndio muende Caf!
 
Huu mchezo mchafu unachezwa na bodi ya ligi na hata waamuzi wanachezesha mechi za Simba 80% ni wanawake
Cha ajabu utashangaa Tabora wanapomaliza tu game ya Simba wiki ijayo vibali na lesen vimeshapatikana, huu uhuni wa kitoto🤣🤣
Kama wana uwezo wakuifunga simba wataifunga tu maana wameifunga Yanga na Azam akiwa na kikosi hiko hiko kwahiyo tusitafute kichaka cha kuongea mnyama akijipigia nyingi Jpili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…