Mechi ya Tabora United vs Simba huwa kuna upangaji matokeo ya wazi

Mwamedi kisha tembeza.mlungula
Mi huwa nakagua uchezeshaji tu, simba ikicheza muamala wa refa hua nauona kabisa mechi inaweza kuisha dkk 120 hadi kolo afunge. Mpinzani akifunga simba hilo sio goli kamwe, yaani mechi za simba zinatia kinyaa kuangalia!!
 
Ukiwa muongo uwe na kumbu kumbu azam ndio walishinda tabora ikiwa na wachezaji saba pungufu simba alishinda wakiwa kamili kama walivyo shenyetwa yanga 3-1!
 
Mi huwa nakagua uchezeshaji tu, simba ikicheza muamala wa refa hua nauona kabisa mechi inaweza kuisha dkk 120 hadi kolo afunge. Mpinzani akifunga simba hilo sio goli kamwe, yaani mechi za simba zinatia kinyaa kuangalia!!
Si uache kuangalia mechi zao mkuu usije ukatapika, endelea kuangalia mechi za kina Kayoko mbona wanachezesha kwa kiwango kikubwa sana
 
We nawe una gubu kama ndugu wa mume
Ukilala unaweweseka na simba
Kwani sisi ndi tuliwatoa Makundi au nyie wenyewe ndo mmeshindwa hebu tukome baasi
Vibali vya nyokweee
Yaani punguza presha dogo mpira burudani kama inakutesa iache ,tafuta starehe nyingine hata kunya kanye
 
Hao waliopo si ndiyo waliwafunga Yanga hamuwaamini kuwa wanatosha kuifunga simba!! Halafu kukosekana kwa vibali kwa kushindwa kulipa 20m simba inahusikaje au Simba ndiyo ilitakiwa kutoa hizo hela za vibali!!

Sioni mantiki ya huu uzi
Wanahisi kuwa huenda mwenye pesa kazishikilia kwanza kungoja la Simba lipite.
 
Haya wameshalipiwa vibali hao wachezaji 6 tuone sasa wakiifunga Simba hiyo Jpili
 
Ukumbuke tu kule TFF unakopeleka mashtaka kuna Wallace Karia, ambaye pia ni simba dam dam.
 
Simba wanabebwa wazi
Wanaobebwa waliishia makundi huko CAFCL coz huko hamnaga cha chura kubebwa ama kununua mechi kama vyura wafanyavyo NBCPL.

Ubaya Ubwela tumetinga robo kwa kutembeza boli pasipo kubebwa...

Mtateseka sana 😂
 
Nani anajali hayo mashindano yenu ya akina mama Sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…