ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Mitandaoni na kwenye media mechi kubwa ni Tabora United vs Young Africans ambayo itafanyika tarehe 2 April uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA, mechi ya UMISETA au shirikisho Watanzania hawana habari nayo
Haya mashindano ya shirikisho ni sawa na mashindano ya shule yaani UMISETA au Yale ya golf
Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano ya shirikisho shirikisho kuwa ni mashindano ya akina mama mama, na Mimi simpigi
Haya mashindano ni Kwa ajili ya timu ndogo kama Coast union, Namungo, Biashara, KMC n.k ambazo ziliwahi kushiriki na kufika mbali
Timu inayojiita kubwa kubwa kutambia shirikisho ni aibu
Wananchi wa Tabora jiandae na Burudani puuzeni mashindano ya shirikisho
Yanga bingwa