🤔Netball?Shirikisho nayo ni mashindano ya kimataifa?
Si kama netball tu
Mitandaoni na kwenye media mechi kubwa ni Tabora United vs Young Africans ambayo itafanyika tarehe 2 April uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA, mechi ya UMISETA au shirikisho Watanzania hawana habari nayo
Haya mashindano ya shirikisho ni sawa na mashindano ya shule yaani UMISETA au Yale ya golf
Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano ya shirikisho shirikisho kuwa ni mashindano ya akina mama mama, na Mimi simpigi
Haya mashindano ni Kwa ajili ya timu ndogo kama Coast union, Namungo, Biashara, KMC n.k ambazo ziliwahi kushiriki na kufika mbali
Timu inayojiita kubwa kubwa kutambia shirikisho ni aibu
Wananchi wa Tabora jiandae na Burudani puuzeni mashindano ya shirikisho
Yanga bingwa
Kwa hiyo shirikisho ni nini?Shirikisho nayo ni mechi?
Hii michuano mnaidharau sana aise inabidi CAF iifuteShirikisho na netball ni sawa kabisa
Huo uzee nao akiuona ni bahati, chuki zikizidi Sana zinapunguza pia umri wa kuishiIla we jamaa una vichuki flan vya ajabu sana aisee...nina wasi wasi na uzee wako,utawaletea shida sana watu kwa husuda zako za kishamba.
Mungu akuongoze
Huyo siyo kijana tayari ni mzee..Ila we jamaa una vichuki flan vya ajabu sana aisee...nina wasi wasi na uzee wako,utawaletea shida sana watu kwa husuda zako za kishamba.
Mungu akuongoze
Mkia nyamaza mabingwa wakiongeaMechi ya manyani na MAMMBWA vs Nyuki wa tabora.
Hapo Tayar Wewe Umeyazungumzia Na Yanakuumiza 🤣🤣Mitandaoni na kwenye media mechi kubwa ni Tabora United vs Young Africans ambayo itafanyika tarehe 2 April uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA, mechi ya UMISETA au shirikisho Watanzania hawana habari nayo