Umejibu swali au unathibitisha alichowahi kusema Manara kuwa "Yanga wenye akili ni wawili tu?"Nani alikwambia kama mashindano ya akina mama Yana maana?
Sie Mbumbumbu? Ahahahahaha! Kauli moja tu "HATUCHEZI" mmekimbilia CAS, halafu unasema sisi mbumbumbu? Ahahahahaha!!Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Ila kama kweli hivi.Acha kujiaibisha