Mechi ya Tabora United vs Young Africans inazungumziwa kuliko mechi ya Shirikisho


Ushabiki maandazi
 
Ila we jamaa una vichuki flan vya ajabu sana aisee...nina wasi wasi na uzee wako,utawaletea shida sana watu kwa husuda zako za kishamba.
Mungu akuongoze
Huo uzee nao akiuona ni bahati, chuki zikizidi Sana zinapunguza pia umri wa kuishi
 
Kauli za MFA maji. Endelea kujipa moyo
 
Ni vizuri ili Simba wafanye mambo yao bila kutolewa kwenye reli...... Ni akili kubwa zimetumika hapo...
 
Wapigwe Tu Tumechoka, Nyuki Mna Cha Kujiuliza Kwenye Kichwa Ulichokinyoa
 
Hapo Tayar Wewe Umeyazungumzia Na Yanakuumiza 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…